$ 0 0 Mdau Gelard Ngowi, akipozi wakati wa mahafali ya chuo kikuu mzumbe akisubiri kutunukiwa 'nondoz' yake katika masuala ya uhasibu na fedha ambapo alitunukiwa shahada ya kwanza (BA IN ACOUNTING AND FINANCE)