Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*KINANA ALIVYOPOKELEWA KUANZA ZIARA MKOA WA TABORA, AKAGUA UJENZI DARAJA LA MBUTU, IGUNGA

$
0
0
 Kinana akivishwa skafu na na Kijana wa CCM  Seif  Anthony wakati wa mapokezi yake yaliyofanywa Makomelo, Igunga. Kushoto ni Johari  Mayoka na kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Tabora Iddi Ali Ame
 Kinana akisindikizwa na Ame, kupita kwenye paredi la Chipukizi
 Wananchi wakimsubiri wa hamu eneo la kijiji cha Makomelo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye eneo la mapokezi kwenye kijiji hicho Wilayani Igunga, jioni hii, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku kumi katika mkoa wa Tabora.
 Viongozi wakimsubiri wa hamu eneo la kijiji cha Makomelo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye eneo la mapokezi kwenye kijiji hicho Wilayani Igunga, jioni hii, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku kumi katika mkoa wa Tabora.
 Kinana akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Tabora Fatma Mwasa. Kushoto ni Mbunge wa Nzenga Dk.Hamis Kigwangala





 Kinana akisalimia wananchi wakati wa mapokezi hayo ya kuingia mkoani Tabora
 Kinana akizungumza na wananchi waliojitokeza kumpokea eneo la Makomelo, Igunga mkoani Tabora. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
Katibu Mkuu wa CCM Abdultahman Kinana akisindikizwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa kuondoka eneo la mapokezi kwenda mjini Igunga.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akishuka, baada ya kukagua ujenzi wa daraja la Mbutu, wilayani Igunga, leo Mai 9, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kuimarisha uhai wa chama na kusikiliza kero za wananchi mkoani Tabora, Ujenzi wa daraja hilo ulioanza mwaka jana, unatarajiwa kumalizika Julai mwaka huu. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>