BENKI YA DUNIA YAAHIDI KUTOA FEDHA KUKUZA MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA...
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia), akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohamed, muda mfupi kabla ya Mkutano na Makamu wa Rais wa Benki...
View ArticleBONDIA HASSAN MWAKINYO ATANGAZWA BALOZI WA SPORTPESA TANZANIA
Waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akishuhudia Mkurugenzi wa Kampuni ya Sportpesa, Abbas Tarimba (kushoto) akibadilishana mkataba wa udhamini na Bondia...
View ArticleGENERATION QEENS WAKABIDHI MSAADA WA VIFAA TIBA KITUO CHA AFYA CHALINZE
Mwenyekiti wa kikundi cha Pwani Generation Qeens Bety Msimbe kulia akimkabidhi msaada wa vifaa mbali mbali mmoja wa wakinamama Zulfa Athumani katika halfa fupi kwa niaba ya wengine baada ya...
View ArticleWIKI YA MAONESHO YA VIWANDA PWANI YAINUFAISHA KILUA GROUP
https://www.youtube.com/watch?v=sFrSN0mEoCY
View ArticleWAZIRI MKUU AMPA SIKU SABA WAZIRI MWIJAGE KUSIMAMIA KIBALI CHA BM MOTORS
Na scolastica Msewa, kibahaWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amempa siku saba Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage kuhakikisha Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linatoa kibali kwa...
View ArticleKMC YAAMUA KUACHANA NA HUMUDI, YAMTUPIA VILAGO RASMI
Uongozi wa Klabu ya Kinondoni municipal council (KMC) yaamua kumtupia rasmi vilago mchezaji wake Abdulhalim Humud baada ya leo kutangaza msimamo wao wa kumtimua mchezaji huyo aliyekithiri kwa utovu wa...
View ArticleWAWEKEZAJI WA LIGANGA MCHUCHUMA WAOMBA KUKAA MEZA MOJA NA SERIKALI
WAWEKEZAJI WA LIGANGA MCHUCHUMA WAOMBA KUKAA MEZA MOJA NA SERIKALI *Kampuni ya Sichuan Hongda Group ya China yaomba kukaa meza moja na Serikali ili kufikia muafaka wa mradi wa uchimbaji Liganga...
View ArticleKAMWELWE AFUNGUA MAFUNZO YA UDEREVA WA TRENI YA UMEME
Waziri wa UJenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe, akifungua rasmi mafunzo ya udereva na usimamizi wa Treni ya Umeme ya Kisasa inayojengwa nchini chini ya mradi wa Reli ya Kisasa...
View ArticleCHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MARIAN BAGAMOYO KUANZA KUTOA ASTASHAHADA NA SHAHADA...
Baadhi ya Viongozi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian wakiongozana na mgeni rasmi kuwasili katika sherehe ya maafali ya kwanza ya chuo hicho yaliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini Bagamoyo. Picha na...
View ArticlePOGBA ANAVYOENDELEA KUMDUWAZA MOURINHO MAN U IKISHINDA 4-1
Pogba akifunga bao la pili katika mchezo huo, ambapo kwa ushindi huo wa tatu mfululizo baada ya kutimuliwa aliyekuwa kocha wake Mourinho, na kuwa chini ya kocha, Ole Gunnar Solskjaer, Manchester United...
View ArticleMBUNGE KIGODA ACHANGIA MILIONI 24 UJENZI WA MADARASA MJI WA HANDENI
Mbunge wa Handeni Mjini, akipiga Sululu wakati wa zoezi la MSALAGAMBO wananchi kujitolea kuchimba msingi wa Vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Handeni. Picha na Muhidin Sufiani.MBUNGE wa...
View ArticleKINGWENDU 'FEKI' ALIVYOFUNIKA TAMASHA LA SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR
UKIMUONA huwezi kuwa na mashaka kwamba huyu si Kingwendu halisi kuanzia muonekano, Sauti na mikogo yote ya Msanii wa vichekesho maarufu Kingwendu Ngwendulile Mzaramo wa Msanga Mkoa wa Pwani, lakini...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA SHEREHE ZA MADHIMISHO YA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akipunga mkono kuwasalimia wananchi waliofurika katika Uwanja wa Gombani mjini Pemba wakati akiwasili uwanjani hapo leo...
View ArticleMTANANGE WA YANGA VS MWADUI UWANJA WA TAIFA YANGA 3-MWADUI
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tabwe, akifunga bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui, kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, juzi. Katika mchezo huo Yanga ilishinda mabao 3-1.
View ArticleSERIKALI KUPITIA TANESCO YAANZA KUTEKELEZA MRADI WA UMEME WA KENYA-TANZANIA...
Meneja Mwandamizi wa TANESCO anayehusika na Miradi, Mhandisi Emmanuel G. Manirabona, akifafanua mambo mbalimbali yahusuyo utekelezaji wa mradi huo leo Januari 22, 2019Mratibu wa Mradi huo kutoka...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA YANGA ILIPOLALA BAO 1 KWA SIMBA TAIFA JANA
Kipa wa Simba Aishi Manula akiokoa moja ya hatari langoni kwake mpira uliopigwa na Herietier Makambo (kushoto) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam....
View Article