Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*VIONGOZI WA SERIKALI, DINI, VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUHUBIRI AMANI MAJUKWAANI

Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa MbeyaVIONGOZI  wa Serikali, Dini na Vyama vya Siasa nchini wametakiwa kuondoa tofauti zao na kutumia majukwaa kuhubiri amani na upendo ili kudumisha mshikamano  na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MWENYEKITI UVCCM TAIFA SADIFA JUMA HAMISI APINGA MFUMO WA SERIKALI TATU

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamisi (katikati) akiwa na mwenyekiti wa UVCCM kilimanjaro, Fredrick Mushi (kulia) na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Aluu Segamba katika Hafla ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA TFF LEODGER TENGA KUFUNGA KOZI YA MAKOCHA JUMANNE

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodger Tenga anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa kozi ya makocha wa ngazi ya pili (Intermediate) itakayofanyika Jumanne kwenye Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MWIGULU NCHEMBA NA PETER MSIGWA NUSURA WAZICHAPE 'KAVU KAVU' DODOMA

Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizozana na wabunge wa Chadema, Mchungaji Peter Msigwa(kulia)mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (wa pili kulia) na Mbunge wa Musoma Mjini, Vicent...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*JICHO LA SUFIANIMAFOTO NDANI YA MJI WA DODOMA LEO

 Mitaa ya Stendi ya Mabasi yaendayo Mikoa mingine katika Mji wa Dodoma, Eneo hilo kwa sasa kuna Stendi isiyo rasmi kutokana na ujenzi wa Kituo hicho ambapo mabasi hulazimika kuegesha pembezoni mwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HAYA NI MAAGIZO AU NI 'ASANTE OBAMA'?

Mafundi wakiendelea na kazi ya ukarabati wa kumwaga Kokoto na kuzisambaza na kuzikandamiza, pembezoni mwa barabara ya Kilwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mazingira kuelekea ujio wa Rais wa Marekani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA KIKAO CHA SMZ NA SMT MJINI DODOMA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Kikao cha SMZ na SMT, kiliochofanyika Dodoma Hoteli, leo. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda, na (kushoto) ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*FULL MKANDA MATUKUKIO YA SHOO YA KILIMANJARO TZ TOUR 2013 MJINI DODOMA JANA

Prof. Jay, akiwasili uwanjani hapo na Mwanadada Lady Jay Dee. Ommy Dimpozi, akiwasili uwanjani hapo.... Ommy Dimpozi, akipozi kwa picha na madansa wake kabla ya kupanda jukwaani. Madansa wakisubiri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*AZIMIO LA MAZINGIRA BORA NA SALAMA KWA WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KAZINI...

Mgeni rasmi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Bw. Francis Stolla akionyesha Tamko rasmi la Mount Meru la kutetea Uhuru wa Vyombo vya Habari kwenye ukanda wa Afrika Mashariki.Mgeni rasmi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SHY-ROSE BHANJI AIFAGILIA MISWADA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

 Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu miswada mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SHEREHE YA GARADUATION YA WAHIDA ULOTU YAFANA

Wageni waalikwa wakiingia kwenye ukumbi wa Knight Of Columbus uliopo Cherry Hill Rd, College Park, Maryland nchini Marekani sherehe ya Graduation ya Wahida Ulotu (kulia) aliyehitimu na kufuzu kuwa Nesi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SPAIN YAICHAPA NIGERIA 3-0

Wachezaji wa Timu ya Spain, wakishangilia moja ya goli lao kati ya matatu dhidi ya Nigeria katika mchezo wao uliomalizika hivi punde ambapo Spain wameibuka na ushindi wa mabao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NENO LA LEO KUTOKA DODOMA

Hizi ni lugha za vyombo vya usafiri.....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*JICHO LA SUFIANIMAFOTO MITAA YA MJI WA DODOMA, HONGERA MKUU WA MKOA BI. REHEMA

Mkuu wa mkoa , Rehema Ujenzi wa barabara. Hii ni moja kati ya Mizunguko ya magari 'Round About' mpya zilizojengwa hivi karibuni mjini Dodoma, mzunguko huu unaoitwa Independence Square, upoa karibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TANZANIA YAPONGEZWA KWA KULINDA HAKI ZA WAKIMBIZI DUNIANI.

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dkt. Alberic Kacou akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya Wakimbizi Dunia ambapo amesema anaishukuru Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BEN PAUL TWANGA PEPETA KUWASINDIKIZA WAREMBO WA REDD'S MISS TEMEKE JULAI 5,...

 Msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Ben Paul, atakuwa ni miongoni mwa wakali watakaoangusha bonge la burudani katika shindano la Redd's Miss Temeke, Julai 5 mwaka huu. Wazee wa moja moja, Twanga Pepeta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MNUSO WA FADHIL ADAM ALIPOUAGA UKAPERA JANA

Ndugu, Jamaa na marafiki wakijisevia msosi baada ya Bwana mdogo Fadhili Adam (wa tatu kushoto) kuchukua jiko jana, alipofunga ndoa huko maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Hongera Bwana mdogo kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NAOMBENI MSAADA KWA HILI WADAU WANGU KUNA MTU KANIHACK NA ANANISUMBUA

Naombeni msaada MABLOGER WENZANGU kuna mtu anaitwa Hansey Harrison/Hansey Harisonanatumia account mbili kwenye facebook nazo ni https://www.facebook.com/hansey.harrison?fref=ts na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SHINDANO LA REDD'S MISS KANDA YA MASHARIKI KUFANYIKA JUNI 29

Na Mwandishi wetuMASHINDANO ya Redds Miss Kanda ya Mashariki yanatarajia kufanyika Juni 29 Nashera Hotel mkoani Morogoro kwa kushirikisha jumla ya warembo 14.Mkurugenzi wa kampuni ya Nikalex Ltd, Alex...

View Article

*HABARI YA MSIBA

Habari wadau, naomba kuwajulisha kuwa mwanachama mwenzetu wa TASWA, ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la Daily News, Nelly Mtema amefiwa na mumewe usiku wa kuamkia leo. Msiba upo nyumbani kwake...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>