*NMB YAFADHILI MICHEZO YA UMITASHUMTA MANISPAA YA SUMBAWANGA, YAKABIDHI VIFAA...
Benki ya NMB imefadhili michezo ya UMITASHUMTA katika Manispaa ya Sumbawanga kwa kutoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 9. Lengo kuu la ufadhili huo ni kusaidiana na UMITASHUMTA...
View Article*ZITTO KABWE KUHUDHULIA TAMASHA LA ASPEN IDEAS 2013 NCHINI MAREKANI
MBUNGE WA Kigoma Kaskazini, Ndugu Zitto Z. Kabwe amealikwa kuhudhuria tamasha la tisa la Aspen la mwaka huu huko Marekani. Tamasha hilo linawaleta pamoja watu mashuhuri kutoka nyanja mbalimbali...
View Article*TFF YAMLILIA MATHIAS KISSA
Shrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mchezaji wa zamani wa timu za Cosmopolitan na Taifa Stars, Mathias Kissa (84) kilichotokea leo alfajiri (Juni 24...
View Article*GRAND MALT YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA BARAZA LA WAWAKILISHI...
Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ally Iddy, akipokea vifaa mbalimbali vya michezo kwa timu za Baraza la Wawakilishi za mpira wa miguu na pete kutoka kwa Meneja...
View Article**SHEHA ALIYEMWAGIWA TINDIKALI ZANZNIBAR AANZA MATIBABU NCHINI INDIA
Sheha wa Shehia ya Tomondo Mohd Omar Said { Kidevu } wakati alipokuwa akipatiwa huduma za matibabu katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kwa takriban mwezi mmoja kabla ya kupelekwa Nchini India ambako...
View Article* SHEREHE ZA KUAPISHWA SKAUTI MKUU WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA IKULU JIJINI...
Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu na...
View Article*KAMATI YA MAANDALIZI YAFANYA KIKAO NA UBALOZI, WASHINGTON, DC
Afisa Ubalozi Suleiman Saleh (kushoto) akisalimiana na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly wakati akiwakaribisha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na Tamasha la...
View Article*HALI SI SHWARI CHU KIKUU CHA TEOFILO (TEKU) WAHADHIRI WAGOMA KUTUNGA...
Waahadhiri wa Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) wakiimba wimbo wa Solidarity, kumaanisha mshikamano katika madai yao. Kaimu Mwenyekiti wa TEKUASA, Amani Simbeye, akifungua mkutano kati ya...
View Article*MICHAEL JACKSON AIBUKIA BONANZA LA TBL'S FAMILY DAY JIJI DAR
WMsanii wa kikundi cha sanaa cha Afrigay Talent Base cha Magomeni Dar es Salaam, Michael Jackson wa Tanzania, akiwaongoza wenzake kutoa burudani wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia...
View Article*YOUNG TANZANIA COMPUTER PROGRAMMER LANDS USD $328,000 Victory
(L) Eric Mutta. is a 29 year-old Tanzanian software engineer who recently secured over half a billion shillings (equivalent to $328,000) in grant funding. The grant was awarded on the 18th June 2013...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 24 WA MWAKA WA TUME YA NGUVU ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa kutano, wakati akifungua rasmi Mkutano wa 24 wa mwaka wa nguvu za Atomiki Tanzania, wa Utafiti...
View Article*WANASWA KWENYE BODABODA WAKIWA NA BASTOLA YENYE RISASI NJE YA BENKI YA POSTA...
Askari kanzu (kulia) akiwa ameshika bastola aliyokutwa nayo mtu mmoja aliyekuwa amepakiwa katika pikipiki aina ya Boxer yenye namba za usaji T 961 CJW katika mtaa wa Makunganya jirani kabisa na benki...
View Article*MKURABITA YAPANIA KULETA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA KWA VITENDO.
By. Pascal Mayalla Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania, MKURABITA, unaendelea na utekelezaji kwa vitendo, wa awamu ya kwanza ya kuwapatia “Maisha Bora kwa...
View Article*WASANII WATAMBA TAMASHA LA FILAMU LA GRAND MALT
Na Mwandishi WetuWASANII mbalimbali watakaoshiriki katika Tamasha la Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania, maarufu kama ‘Grand Malt Tanzania Open Film Festival’ ambalo litafanyika katika Viwanja vya...
View Article*WANAFUNZI WALIOSOMA SHULE ZA KATA VYUO VIKUU WAMTAKA LOWASSA AWANIE URAIS 2015
Mbunge wa Monduli, ambaye pia ni waziri mkuu mstaafu, Edward Lowasa, akisalimiana na wanafunzi wa chuo kikuu cha UDOM waliotoka shule za sekondari za kata, wakati walipofika nyumbani kwake mkoani...
View Article*WANAWAKE WANA UWEZO WA KUBADILISHA MAISHA YA MTANZANIA
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya wanawake wajasiriamali yanayoendelea kwenye ukumbi wa Bwalo la...
View Article*TANZANIA YASHINDA TUZO 3 ZA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA NCHINI GHANA.
By Pascal Mayalla Tanzania imeshinda tuzo tatu za juu za ubunifu katika Utumishi wa Umma, barani Afrika, kufuatia Tasisi tatu za Tanzania, kushinda nafasi ya kwanza, na kukabidhiwa vikombe vya...
View Article*RAIS WA TFF LEODGER TENGA WATAKA MAKOCHA WALIOMALIZA KOZI KUIBUA VIPAJI VYA...
Mhitimu wa kozi ya ukocha wa mpira wa miguu kwa ngazi ya pili, Seleman Matola akipongezwa na Rais wa Shirikisho la Soka nchini, Leodgar Tenga kwenye sherehe zilizofanyika jana Uwanja wa Taifa.Kulia ni...
View Article*MO AWA MTANZANIA WA KWANZA KUTAMBULIKA NA JARIDA LA KIMATAIFA LA FORBES AFRIKA
-Mo mjasirimali kijana mwenye mafanikio ya kipekee katika bara la Afrika.Na Mwandishi Wetu Mjasirimali mchapakazi na Mbunge Kijana nchini Tanzania, Mohammed Dewji (MO) ametajwa katika jarida la...
View Article