Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MPAMBANO WA MASUMBWI UBINGWA WA DUNIA AGOST 30 MWAKA HUU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KATUNI YA LEO TAFAKARI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

??????????????????????????????????????

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MFALME MSWATI ATUA NCHINI LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA 'SMAT PATNERSHIP' JUNI 28

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mfalme Mswati wa (ii) wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAREMBO KESHO KUENDELEA NA MBIO ZA KUMVUA TAJI REDD'S MISS TANZANIA BRIGITTE...

Na Mwandishi WetuKINYANG’ANYIRO cha kumpata Redd’s Miss Tanzania kwa mwaka huu kinazidi kushika kasi na sasa, kazi kubwa ipo katika ngazi ya kanda, pale kutakapokuwa na kazi ya kumsaka mrembo wao ndani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MUME AMKAMATA MKEWE KWA SANGOMA AKITAKA KUTEKETEZA FAMILIA KISHIRIKINA KIBAHA

 Mtuhumiwa huyo akiwa ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa akiwa na Mganga wake, hapa wakipelekwa Kituo cha Polisi. Mtuhumiwa akiwa ndani ya  chumba cha mganga na mganga wake aitwaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UNIC NA TAYODEA WAENDESHA SEMINA YA KUPINGA MATUMIZI NA BIASHARA YA MADAWA...

Afisa uhusiano wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Usia Nkhoma Ledama akiwasilisha ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu siku ya kimataifa ya kupinga matumizi na biashara haramu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI IDDI AZINDUA JENGO LA SKULI YA MIWANI JIMBO LA UZINI UNGUJA LEO

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akisalimiana ana Wanafunzi wa Skuli ya Msingi wa Miwani, baada ya kuzinduliwa rasmi kwa jengo lao jipya. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ. Makamu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*JUMA KASEJA ATUPIWA VILAGO RASMI SIMBA, ATOWEKA MAZOEZINI, ALAANI KUFANYIWA...

KLABU ya Simba ya Jijini Dar es Salaam, leo imetangaza rasmi kumtema Nahodha wake ambaye pia ni Nahodha wa timu ya Taifa na Simba, Juma Kaseja,  ambaye alikuwa akiwaumiza vichwa viongozi wa Klabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MAFUNZO YA UOFISA NA UKAGUZI MSAIDIZI WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

 Mbunge wa Jimbo la Ilala, jijini Dar es Salaam, na mmoja wa Wenyeviti wa Bunge, Mussa Zungu Azzan akiongoza kikao cha Bunge Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kutoka Mkoani Arusha, Catherine Magige akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UCHAGUZI WA VIONGOZI WA BFT KUFANYIKA JULAI 7 MWAKA HUU

TANZANIA BOXING NEWS: UCHAGUZI BFT JULAI 7Uchaguzi wa viongozi wa BFT uliopangwa Kufanyika tarehe 7/7/2013 jijini Mwanza, utafanyika kwa tarehe hiyo kama ulivyopangwa.Kikao cha kamati ya utendaji ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA KIONGOZI WA SHIRIKA LA UNDP BI.HELEN CLARK, IKULU LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Shirika la UNDP (UNDP Administrator) Bi. Helen Clark, ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Picha na Freddy Maro.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*FAMILIA YA MANDELA YAZUA UTATA KUHUSU NI WAPI ATAZIKIWA

Na. Halima Kambi, DarBado Bara la Afrika likiwa katika wingu nzito juu ya Afya ya baba wa Afrika Kusini Nelson Mandela familia yake nayo imeingia katika utata mkubwa juu ya mahali atakapozikwa Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MZEE YUSSUF KULIONGOZA JAHAZI MOROGORO JUMAMOSI HII

MFALME Mzee Yussuf  Jumamosi hii akiwa na kundi zima la Jahazi Modern Taarab, anategemewa kuwasha moto wa burudani kwa wakazi wa Morogoro ndani ya ukumbi wa Savoy Hotel.Hili linakuwa ni onyesho mahsusi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINYWAJI CHA CLENMORANGE WHISKY SASA NI RASMI KWENYE MASHINDANO YA WAZI YA GOFU

 Gautam Ahuja mshindi wa mashindano ya gofu ya  Glenmorangie akionyesha kikombe chake katika Klabu ya Lugalo, Dar es Salaam.************************************Kinywaji maarufu, Glenmorangie Whisky,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS MAHINDA WA SRILANKA ATUA NCHINI LEO KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais Wa Sri Lanka Me.Mahinda Rajapaksa akikagua gwaride la heshima liliandaliwa na Jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KUTOKA GAZETI LA CHAMPION LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ABBAS MTEMVU ALIPOUNGURUMA TEMEKE JANA

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (aliyevaa miwani katikati), akifuatwa na wananchi baada ya kumaliza mkutano wa kuelezea utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wapili kushkto) akizungumza na Wabunge kutoka kulia, John Cheyo Bariadi Mashariki (UDP), James Mbatia wa kuteuliwa  (NCCR Mageuzi) na Mansoor Shanif Hiran  mbunge wa Kwimba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BRITISH COUNCIL YATOA MAFUNZO YA UONGOZI NA BIASHARA KWA VIONGOZI WA TAASISI...

 Washiriki katika mafunzo ya uongozi na biashara yananofanyika kwenye Ukumbi wa Nafasi Jijini Dar es Salaam wakifuatilia mafunzo hayo, washiriki hao wametoka katika taasisi mbalimbali...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>