*TASWIRA YA MAPOKEZI YA RAIS OBAMA NCHINI SENEGAL
Picha mbalimbali za mapokezi ya rais wa Marekani, Barack Obama, alipowasili na kupokelewa na rais wa Senegal, Macky Sall jijini Dakar nchini Senegal. Rais Obama yupo ziarani barani Afrika ambapo leo...
View Article*WAWILI WACHAGULIWA KITUO CHA VIPAJI ASPIRE
Wachezaji wawili kutoka Tanzania ni miongoni mwa wachezaji 50, waliochaguliwa baada ya kufanyiwa majaribio nchini Uganda kwa ajili ya kuingia katika kituo cha kuendeleza vipaji (centre of excellence)...
View Article*TFF KUENDESHA KOZI SITA KATI YA JULAI- SEPTEMBA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litaendesha kozi sita tofauti za mpira wa miguu kati ya Julai na Septemba mwaka huu.Kozi hizo ni FIFA 11 For Health itakayofanyika Hombolo mkoani Dodoma...
View Article*NMB YAENDELEA KUZINDUA BUSINESS CLUB “SASA NI ZAMU YA KARATU”
Benki ya NMB imeendelea kuwa kinara katika kubuni na kuboresha huduma mbali mbali za kibenki, ili kuwawezesha wateja wake kupata unafuu na urahisi wa upatikanaji wa huduma za kibenki nchini Tanzania....
View Article*UFUNGUZI WA MKUTANO WA SMART PARTNERSHIP DIALOGUE 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na vijana wa umri wa CPTM 29ers waliohudhuria mkutano wa Smart Partneship Dialogue 2013 wakati wa ufunguzi rasmi wa mkuatno huo...
View Article*TWANGA PEPETA KUZINDUA ALBAM YA 10, KESHO LEADERS CLUB
Na Mwandishi wetuBENDI ya African Stars “Wana Twanga Pepeta” kesho Jumapili itazindua albamu yake 10 ijulikanyo kwa jina la Nyumbani Ni Nyumbani kwenye viwanja vya Leaders Club huku ikisherehekea...
View Article*VETA YAFANYA KWELI MAANDALIZI YA MAONYESHO YA SABASABA
Mtafiti wa Masoko ya Ajira, VETA Makao Makuu Julius Paul Mjelwa akitoa maelezo kwa wageni waliotembelea banda la VETA kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), kuhusu...
View Article*MEYA JERRY SILAA AWATAKA WATANZANIA KUTUNZA NA KULINDA AFYA ZAO ILI KUJENGA...
Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipima Presha wakati wa kufunga zoezi la Utoaji wa Huduma za Afya kwa Uwiano katika jamii ikiwa ni ishara ya...
View Article*DHIFA YA CHAKULA CHA USIKU KWA MARAIS ILIYOANDALIWA NA RAIS JAKAYA KIKWETE...
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwaongoza Marais wa nchi mbalimbali kufurahia burudani ya muziki wakati alipowaalika kwenye Dhifa maalum ya chakula cha usiku kwenye Viwanja vya Gymkhana, jana usiku...
View Article*UJIO WA OBAMA KARIAKOO HAKUFAI YAGEUKA DAMPO LA TAKA
Wakati mitaa mingine ya katikati ya Jiji la Dar es salaam, ikiendelea kuwekwa safi ikiwa ni maandalizi ya mapokezi ya Rais wa Marekani, Barack Obama, Soko la Kariakoo limesahaulika na kukithiri kwa...
View Article*PRESIDENT KIKWETE HOSTED SMATPATNERSHIP DINNER
President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete presents CPTM Award to Sir.Charles Masefield UK yesterday evening during the Smart partnership Dinner hosted for participants in Dar es Salaam yesterday evening....
View Article*OCEAN ROAD MCHANA WA LEO
Barabara ya Baharini mchana wa leo, ikiwa shwari huku ikiwa imepambwa na mabango yenye picha za Rais wa Marekani, Barack Obama na Bendera za Nchi hiyo na Tanzania. KARIBU OBAMA
View Article*MASANJA, SHILOLE, 'WAPISHANA NA OBAMA' WATUA NDANI YA KAPITALI KUFANYA...
Wakati Rais wa Marekani Barack Obama, akitarajia kutua kesho nchini Tanzania kwa ajili ya ziara ya siku mbili, Wasanii Masanja Mkandamizaji kutoka kundi la Ze Comedy na msanii wa muziki wa kizazi...
View Article*MKURUGENZI WA SOKO LA AJIRA MIPANGO NA MAENDELEO WA VETA ENOCK KIBENDELA,...
Mwanafunzi Paulina Emmanuel, anayejifunza masuala ya ubunifu wa mavazi na mitindo katika chuo cha VETA Chang’ombe Dar es Salaam, akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa soko la ajira, mipango na maendeleo wa...
View Article*WACHAWI WA SOKA BRAZIL WAWAADHIBU MAFUNDI WA SOKA SPAIN 3-0
Mshambuliaji wa Wachawi wa Soka Brazil, Neymar (katikati) akiwaongoza wachezaji wenzake kushangilia na Kombe baada ya kukabidhiwa walipowaadhibu 'Mafundi wa Soka', Spain kwa mabao 3-0, katika mchezo...
View Article*RAIS BARACK OBAMA ALIPOKUTANA NA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI JACOB ZUMA
Rais wa Marekani Barack Obama, amesema uvumilivu na ujasiri wa Nelson Mandela ni mfano mwema kwa dunia na upendo wa dhati wa rais huyo wa zamani wa taifa la Afrika Kusini inaonyesha ni kwa namna gani...
View Article*REDD’S MISS MOROGORO 2013 AONGEZA CHEO BAADA YA KUTWAA NA TAJI LA KANDA...
Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2013, Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Shahada ya Ulinzi wa Jamii kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha ( IFM) ambaye pia ni Malikia wa Taji la Mkoa wa Morogoro Diana...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE NA WAKE WA MARAIS WALIOKUWA KWENYE MKUTANO WA SMART...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongozana na Mheshimiwa Inagosi Bulo kutoka DRC (kushoto) na Inkhosikati Lambikiza wa Swaziland na Mama Charlotte Scott wa Zambia wakiwa nje ya banda la Zanzibar mara...
View Article*SHILOLE NA MASANJA WAHUDHURIA TAMCO FAMILY DAY DMV
Shilole (kati) akipata picha ya pamoja na Bwn. Idd Sandaly(kushoto) Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na Tamasha la Utamaduni wa...
View Article