Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*TASWIRA YA MAPOKEZI YA RAIS OBAMA NCHINI SENEGAL

$
0
0
obama-senegal
Picha mbalimbali za mapokezi ya rais wa Marekani, Barack Obama, alipowasili na kupokelewa na rais wa Senegal, Macky Sall jijini Dakar nchini Senegal. Rais Obama yupo ziarani barani Afrika ambapo leo anatarajia kutua nchini Afrika ya Kusini na Julai 1, anatarajia kutua Bongo Dar es Salaam.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles