*OBAMA ATUA ARDHI YA BONGO, ACHENGUKA NA MUZIKI WA MATARUMBETA ASEBENEKA...
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Rais wa Marekani, Barack Obama, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo mchana huku kwa pamoja...
View Article*MASANJA, SHILOLE WAFIKA ULIPO MJENGO WA UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI
Juu na chini ni Wasanii Masanja Mkandamizaji na Shilole wakiwa nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC mara walipopita na kupiga picha nje ya mjengo Jumapili June 30, 2013 walipokua...
View Article*WATOTO WATEMBELEA MAKABURI YA BABA ZAO WACHINA MAKABURI YA WACHINA DAR
Mmoja wa watoto wa wataalamu wa ujenzi wa Reli ya Tazara, Zhang Jun Juan, akilia kwa uchungu baada ya kuzulu katika kaburi la baba yake kwa mara ya kwanza marehemu Zhang Zhen Zong kwenye makaburi...
View Article*ASKARI WANAWAKE WA JESHI LA POLISI NCHINI WATEMBELEA BANDA LA UMOJA WA...
Picha juu na chini ni Baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi nchini wakiangalia baadhi ya vipeperushi na majarida mbalimbali ya Umoja wa Mataifa kuhusu katika Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa lililopo...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MKUTANO WA SIKU 3 WA VIONGOZI WA KIMATAIFA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammmed Gharib Bilal, akifunga Mkutano wa siku tatu wa Viongozi wa Kimataifa wenye lengo la kutokomeza njaa Barani Afrika .Mkutano huo...
View Article*JAMANI NJOONI MJINI WENYEWE WAMEONDOKAAAA
Ni mitaa ya maeneo ya Posta jijini Dar mida hii ya mchana baada ya wale jamaa kuondoka zao na njia kufungliwa zikiwa bado zinapitika kirahisi ikiwa bado wananchi wana hofu ya kuingia mitaa ya katikati...
View Article*SHEIKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM, NA SHIA ITHNAASHAR JAMAAT, WATOA MWALIKO WA...
Sheikh wa Mkoa wa Dar-es-Salaam Sheikh Alhad Mussa Salum, akishirikiana na Shia Ithnaashar Jamaat, wanapenda kuwaalika wote, katika kushuhudia Miujiza ya Qur’an ya kijana HAFIZ MOHAMMED TAQI KHAN toka...
View Article*OBAMA AFANYA VITU ADIMU DAR KABLA YA KUPAA LEO
Huyuuuuuuuuuu, ndiye Obama, Rais wa Marekani, Barack Obama, akipiga danadana za kichwa wakati alipowasili kwenye mitambo ya kuzalisha umeme ya Ubungo jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya...
View Article*RAIS OBAMA NA UJUMBE WAKE WAMALIZA ZIARA YAO NCHINI WAPAA LEO KUREJEA MAREKANI
Rais wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle, wakipanda ndege yao aina ya Air Force One, tayari kuondoka nchini kurejea nchini kwao baada ya kumaliza rasmi ziara yao katika Bara la Afrika, ambapo...
View Article*MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA WAFANYIKA SERENA HOTELI...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa Marais na wakuu wa nchi za Afrika unafanyika Dar es Salaam kwa...
View Article*MUHIMBILI SASA KUANZA KUJENGA CHUO KIPYA MWEZI AGOSTI
Pichaya mchoro unaoonyesha ramani ya Jengo hilo.*********************************************************************Na Belinda Kweka- MAELEZOCHUO Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili(MUHAS) kipo...
View Article*SHILOLE, MASANJA WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani mama Lily Munanka (katikati) akiwakaribisha wasanii, Masanja na Shilole wakiwa pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo...
View Article*TWIGA BANCORP KUTUIMIA MAWAKALA KUTOA HUDUMA ZAKE
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp Limited, Hussein Mbululo, akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na huduma mbalimbali za kibenki zinazopatikana katika katika Banda la Benki hiyo lililopo...
View Article*BPZ YAZINDUA HUDUMA YA KUSAFIRISHA FEDHA KWA HARAKA KUPITIA SIMU ZA MKONONI
Balozi Seif akiangalia ujumbe wa simu aliotumiwa wa kupokea fedha kwa njia ya huduma ya kusafirisha fedha kwa haraka kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake Bwana Hassan aliyeko Canada kupitia kituo cha...
View Article*NBC BANK & AFRICAN FIRST LADIES SUMMIT AFRICA, MKURUGENZI WA NBC ATOA SOMO
Rais wa zamani wa Marekani, George Bush (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya watoa mada kuhusu maendeleo ya wanawake viongozi wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Wake wa Marais wa Afrika jijini Dar es...
View Article*REDD'S MISS TEMEKE 2013 KUJINYAKULIA ZAWADI ZA JUMLA YA SH. M 3, 250,000
Warembo wanaowania taji la Redd’s Miss Temeke wakiwa katika picha ya pamoja na waandaaji wa shindano hilo sambamba na wasanii watakaotumbuiza siku hiyo Ben Paul na Luiza Mbutu wa bendi ya Twanga pepeta...
View Article*TBL YANOGESHA SIKU YA WAKULIMA WA SHAYIRI KARATU
Mtafiti wa Mbegu,Geremiah Mrimi (wa pili kushoto) akimuonesha Meneja wa Kiwanda cha Kimea cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Moshi, Vitus Mhusi mbegu aina ya Shayiri zilizokubaliwa na Wizara ya...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MABANDA YA BIASHARA SABASABA
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa n Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo na Makazi(UNHABITANT) Phillemon Mutashubirwa kuhusu wanavyofanya kazi ya kusaidia watoto wa...
View Article