Ommy Dimpozi, akiwasili uwanjani hapo....
Ommy Dimpozi, akipozi kwa picha na madansa wake kabla ya kupanda jukwaani.
Madansa wakisubiri kupanda jukwaani.
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Chanel 5, Patrick Nyembela, akimhoji msanii Linex, kabla hajapanda kushambulia jukwaa.
Sehemu ya umati wa mashabiki waliojitokeza kushuhudia shoo hiyo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Linex, akishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour, 'Kiwetu Kwetu', lililofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, jana, KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPO CHINI

Ommy Dimpoz, akifanya makamuzi jukwaani...
Shabiki mwanadada aliyepagawa na miondoko muziki wa Ommy Dimpoz, akiwa amevua suruali yake na kubakia na pensi huku akisebeneka.
Mmoja wa shabiki akijaribu kutaka kumuibia miwani Ommy Dimpozi, wakati akiwapa Hi, mashabiki wake alipokuwa akiwasalimia baada ya kupanda jukwaani na kuamua kushuka eneo la mashabiki. Hata hivyo shabiki huyu hakuweza kufanikiwa baada ya Ommy, kuwahi kuusukuma mkono wa mwizi wake huyu.
Mwanadada Anakonda, Lady Jay Dee, akipanda jukwaani kuanza kushambulia jukwaa.
Prof Jay, akishambulia jukwaa.
Prof Jay, akikumbushia vibao vyake vya zamani
Mashabiki wakipagawa na miondoko.....
Ben Paul, akiimba jukwaani...
Dj Choka kwenye One na Two, kuwachezesha mashabiki na wasanii......
Msanii, Kala Jeremier, akishambulia jukwaa.
Msanii Roma Mkatoliki, akiwapagawisha mashabiki kwa mistari ya vina.........
Mashabiki wakipagawa na wengine huko nyuma sijui walikuwa waki.......?????
Mwanadada Lady Jay Dee, akiimba jukwaani
Mwanadada Lady Jay Dee, akiimba jukwaani
Wadau wakifurahia shoo iliyokuwa ikiendelea jukwaani....
Mwanadada Lady Jay Dee, akiimba jukwaani na Prof Jay, kibao cha Joto Hasira
Mwanadada Lady Jay Dee, akiimba jukwaani na Prof Jay, kibao cha Joto Hasira
Prof Jay akimalizia shoo na 'Vicky'