
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
18/August 2014.
MtangazajimahiriwamichezowasikunyingiMaulidi Baraka Kitengeamejiunganakituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopoKawejijini Dar Es salaam.
Kutokananatafitiyaipsosyamwaka 2013,inasemekana kuwamtangazajihuyowazamaniwakituo cha redioone,ndiemtangazaji bora wamichezonchini Tanzania.
Mkurugenziwavipindiwa RadioEFM,DicksonPonela,ameelezakufurahishwakwakwekwamtangazajihuyokinarakuhamiakatikakituohicho.
“MpakasasaMaulidiKitengeameshasignmkatabanakituochetunaanatarajiakusikikahivikaribunikatikakipindi cha michezohapa EFM”, alisemamkuregenzihuyo.
MaulidiKitenge au jezinambaritisamgongoni, amejiunganamagwijiwaliobobeakatikafanihiyoakiwemoDizoone,DennisSebo,SosB,KankyMwaigomolenaDjMajay.
---------------------------------------END-----------------------------------------