$ 0 0 Magari yenye namba za usajili T 784 BUM na T 208 ASL, yakiwa yamegongana barabara ya Azikiwe mbele ya Benki ya CRDB, muda huu na kusababisha foleni kubwa eneo hilo.