Wachezaji wa Manchester United, wakimpongeza mwenzao, Di Maria, baada ya kutupia bao la kwanza katika dakika 27 ya kipindi cha kwanza dhidi ya Everton.
Radamel Falcao, akishangilia bao lake alilofunga katika dakika ya 62 ya kipindi cha pili akiunganisha pasi nzuri kutoka kwa Angel Di Maria. Bao la Everton lilifungwa na Steven Naismith katika dakika ya 55, huku wakikosa mkwaju wa penati kipindi cha kwanza iliyopanguliwa na kipa wa United De Gea.


Romelu Lukaku kanza kwa upande wa Everton