Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI, IKULU ZANZIBAR

$
0
0
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar  Jorge Augusto  Menezes alipofika Kujitambulisha  leo Ikulu  Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar  Jorge Augusto  Menezes alipofika Kujitambulisha  leo Ikulu  Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana   na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar  Jorge Augusto  Menezes baada ya mazungumzo yao leo alipofika Kujitambulisha   Ikulu  Mjini Zanzibar. Picha na Ikulu. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>