Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*DKT SALOMAO AMPONGEZA DKT. STERGOMENA KWA KUCHAGULIWA KATIBU MKUU SADC

$
0
0
Katibu Mtendaji wa SADC anayemaliza muda wake Dr.Tomaz Salomao akimpongeza katibu mtendaji mpya wa jumuiya hiyo Dr.Stergomena Tax wakati wa mkutano wa 33 wa wakuu wa nchi za SADC uliofanyika jijini lilongwe Malawi.Dr.Stergomena ni katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki. Picha na Freddy Maro

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>