Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, akiwa katika mazoezi ya mpira wa Wavu katika Uwanja wa Chuo cha Ustawi Kijitonyamaleo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Vyuo Vikuu, yanayotarajia kufanyika Jijini Tanga kuanzia Desemba 8, mwaka huu.
Mazoezi yakiendelea...
Jamaa akiwa chini baada ya kuupiga mpira kwa guu.....
Jamaa (kushoto) akiruka kupiga mpira, huku mpinzani wake akiruka kujaribu kuzuia mpira huo bila mafanikio.