*PROFESA SOSPETER MUHONGO ASAINI MKATABA WA MRADI WA KUUZIANA UMEME KATIA YA...
WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano wa Kumi wa...
View Article*MKUTANO WA KIMATAIFA WA TEKINOLOJIA YA MAWASILIANO WAANZA JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent Wen(kushoto) akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach...
View Article*MSAFARA WA KINANA WASAFIRI KWA BAISKELI MILIMA YA USAMBARA KWENDA...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi, waandishi wa habari pamoja na wananchi wakiendesha baiskeli kwenda Kata ya Mg'aro katika mteremko wa milima ya Usambara, akitokea Lushoto...
View Article*MSIKILIZE MWANAMAMA 'POWER BLACK NYATI 'Jike Jeuri',KATIKA AUDIO YA...
Karibuni katika kusikiliza AUDIO ya Mahojiano na Mwanamama Maisara Juma Salah a.k.a Power Black Nyati 'Jike Jeuri', Kiboko wa Wanaume aeleza mengi kuhusu utumiaji wa nguvu zake, kama kuzuwia pikipiki...
View Article* RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI BARABARA YA MWENGE-TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya...
View Article*MAJAJI WAENDESHA MAHAKAMA YA WAZI KUSIKILIZA NA KUPOKEA MALALAMIKO YA...
Jaji Mh. Richard Mziray Akitoa Hukumu katika Mahakama ya wazi katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa...
View Article* WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MKUTANO WA BRN DODOMA.
Pinda awataka ma-RC, DC kwenda na kasi ya BRNNa Mwandishi Wetu, DodomaWaziri Mkuu, Mizengo Peter Pinda amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuendana na kasi ya Mpango wa MATOKEO Makubwa Sasa (BRN)...
View Article* IPTL YAIMWAGIA TASWA MILIONI 20 KUANDAA TUZO ZA WANAMICHEZO.
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti...
View Article* TIMU YA MPIRA WA PETE YA IKULU YAWAPA KICHAPO UKAGUZI
Wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Ikulu wakiwa wamejipanga tayari kuanza mechi yao dhidi ya timu ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali uliochezwa leo uwanja wa Jamhuri...
View Article*DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZANCHICK.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue)kutoka Marekani...
View Article*KIKAO CHA KAZI RAIS KIKWETE KUWA MGENI RASMI
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Ndg. Jumanne A. Sagini akizungumza katika kikao kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi kinachofanyika katika ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha...
View Article*MBUNGE MGIMWA AKIJUMUIKA NA WAPIGA KURA WAKE KWA KUCHEZA BAO .
Mbunge wa jimbo la kalenga Godfrey Mgimwa kushoto akicheza bao na mpiga kura wake Yohanes Chotelo wa kijiji cha Kiponzero baada ya mbunge huyo kumaliza ziara yake katika kijiji cha...
View Article*NSSF YACHANGIA VIFAA VYA ICU HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI.
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Jumanne Mbepo (kulia), akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni 20 Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Marina...
View Article*TANZANIA YAWA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA WA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana akisalimiana na Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba wakati wa...
View Article*UZINDUZI WA REDIO JAMII UVINZA: MKUU WA MKOA AHIMIZA WELEDI, UADILIFU NA...
Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mwalimu Hadijah Nyembo (kulia) akitoa nasaha zake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya (wa pili kulia) kuzungumza na...
View Article*TWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU CLUB MAISHA JIJINI DAR.
Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo yao iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akiimba moja ya...
View Article*KAMPENI YA HAKI YA UCHUMI KATIKA MASWALA YA KILIMO YAENDESHA MDAHALO WA...
Meneja wa Kampeni haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akifungua Mdahalo huo na mafunzo juu ya Kujenga hoja ya upatikanaji wa Chakula na haki ya chakula, Kufuatilia upatikanaji wa haki kwenye...
View Article*KINANA AUNGURUMA PANGANI,TANGA.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Mwera, wilayani Pangani, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya...
View Article*DICOTA 2014 CONVETION DURHAM, NORTH CAROLINA.
Wadau mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ya Millennium Durham tayari kwenye DICOTA 2014 utakaoanza rasmi Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye mji wa Durham jimbo la North Carolina mkutano utamalizika siku ya...
View Article