*MTERA SHOOTING MABINGWA LUKUVI CUP 2014 KATA YA MIGOLI YAIGAGADUA HOME BOYS...
Wachezaji wa timu ya Mtera wakiendelea kuumiliki mpira katikafainali ya Lukuvi Cup kata ya Migoli Mtera Mabingwa wa Lukuvi Cup timu ya Mtera wakimiliki mpita Mchezaji wa timu ya Home Boys akiwa...
View Article* Dk.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA WAPATHOLOJIA TANZANIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Chama cha Wapatholojia wa Tanzania walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya Kujitambulisha kwa...
View Article*DARAJA LA KISASA KUJENGWA BAHARINI ENEO LA AGHA KHAN HADI BARABARA YA KENYATA
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja la Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo...
View Article*MOTO WATEKETEZA SOKO LA BIDHAA ZA UTAMADUNI LIJULIKANALO KAMA MT.MERU CURIOS...
Baadhi ya bidhaa zilizoteketea kwa moto katika SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS& CRAFTS MARKET usiku wa kuamkia leo. Wakazi wa Jiji la Arusha wakiangalia namna...
View Article* KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha Masister...
View Article*REMEMBRANCE
The Late Donat Samike Mashiku 1947-2013Baba, God saw you struggling and no cure in this world was there to make you stay, he then decided to call you that day of 20th November 2013. They were days,...
View Article*TASWA YAOMBOLEZA VIFO VYA WANACHAMA WAKE, MUNYUKU NA KARASHANI
Habari wadau, kwa masikitiko makubwa nawajulisha kuwa mwanachama mwenzetu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Baraka Karashani amefariki dunia mchana huu katika hospitali ya...
View Article*JENGO LISILOKALIWA NA WATU LAPOROMOKA HUKO ZANZIBAR
Askari wa zima moto wakiwa eneo la tukioa baada ya jengo moja kuporomoka mjini Zanzibar jana asubuhi huko maeneo ya Shangani karibu na Kijiwe cha 'Jaws Corner', Jengo hilo lililokuwa wazi bila kukaliwa...
View Article*KINANA ASHIRIKI KILIMO KATIKA SHAMBA LA WANANCHI KIJIJI CHA MKOTOKUYANA...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Nachingwea Mh. Mathias Chikawe wakati alipowasili katika kijiji cha Nkotokuyana jimbo la Nachingwea katika mwendelezo wa...
View Article*BALOZI SEIF ALI AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA TANO WA USHIRIKIANO KATI YA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufungua rasmi Mkutano wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Days Hotel & Suites Shinei...
View Article*WIZARA YA UCHUKUZI YAPOKEA MABEHEWA 50 YA KUBEBEA MAKASHA CHINI YA MPANGO WA...
Moja kati ya mabehewa 50 ya kubebea makasha likishushwa katika Bandari ya Dar es Salaam, leo asubuhi. Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), leo limepokea mabehewa 50 ya kubebea makasha ambapo mradi huu...
View Article*MMILIKI WA CLUB YA LINAS AFARIKI KATIKA GARI MJINI BUKOBA
Mmiliki wa Club ya Linas ya mjini Bukoba, Leonard Mtensa, akiwa hospitali baada ya kufikishwa hapo akiwa amefariki kwa kile kilichoelezwa na Polisi mkoa kuwa alifariki wakati akiwa katika mahaba na...
View Article*MASHINDANO YA TAIFA YA U12 YASOGEZWA
SDL SASA KUANZA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 6Michuano ya Ligi Daraja la Pili (SDL) msimu huu iliyokuwa ianze kutimua vumbi Novemba 22 mwaka huu kwa mechi kumi katika viwanja vitano tofauti imesogezwa mbele...
View Article*WAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI WAELEZEA MAFANIKIO YA FAWA TBL
Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Monduli Juu cha Wakulima wa Shayiri, Barrick Kivuyo akizungumzia mafanikio ambayo wakulima wameweza kuyapata tangu walipoanza kuingia mikataba ya kulima zao hilo...
View Article*TIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YAKAGUA MADARAJA LUHEKEI MKOANI RUVUMA.
Meneja wa wakala wa barabara (TANROADS) mkoani Ruvuma, Mhandisi Abraham Kissimbo akizungumza na timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofika ofisini...
View ArticleTASWA TAARIFA YA MAZISHI
Habari wadau, naomba kuwajulisha kuwa mazishi ya aliyekuwa mwanachama mwenzetu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Baraka Karashani, aliyefariki jana, yatafanyika kesho...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA PILI WA KIMATAIFA WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Mkutano wa pili wa Kimataifa kuhusu Lishe na Virutubisho (ICN2) uliofanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya...
View Article*MKUU WA MKOA MPYA WA DODOMA CHIKU GALAWA AFUNGUA WARSHA YA KUPINGA RUSHWA YA...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifafanua jambo wakati alipokuwa akifungua Semina ya siku moja ya kutafuta namna ya kukabiliana na Rashwa mbalimbali ikiwemo ya Ngono kati ya viongozi na watendaji...
View Article* MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AENDELEA KUTEKELEZA ILANI YA CCM
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea ofisini kwake wakati akikabidhi Vifaa mbalimbali kwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Mjini Ikiwa ni Utekelezaji wa Ahadi zake alizotoa Kipindi...
View Article