Kutokana na Mvua iliyonyesha jijini Dar es Salaam, mida ya mcha huu baadhi ya maeneo yameathirika na mvua hiyo hususan eneo la Tabata, ambako baadhi ya nyumba zimezungukwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa iliyonyesha muda mchache uliopita jijini hapa.
Mkazi wa Tabata akikatiza katikati ya maji ambapo eneo hili njia inayotumiwa na wakazi wa maeneo ya Tabata kila siku, ambapo leo njia hii imefurika maji kutokana na mvua kubwa.