Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MHE. ANGELA KAIRUKI ATAJWA KUWA NI MMOJA KATI YA WANAWAKE VIJANA 20 WENYE...

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Angela Jasmine Kairuki (37) ametajwa katika  jarida la kimataifa la Forbes kuwa ni mmoja  wanawake vijana  20 wenye nguvu barani Afrika mwaka huu.  Katika toleo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MFUMUKO WA BEI NCHINI WAENDELEA KUDHIBITIWA

 Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi Bw. Ephraimu Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu hali ya kuendelea kudhibitiwa kwa mfumuko wa bei...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIFUNGA RASMI MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA...

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa Mawaziri kutoka nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika kuhusu elimu ya afya ya uzazi kwa vijana wa nchi hizo. Mkutano huo wa siku mbili unafanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI IDDI AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI WA SHIRIKA LA MICROSOFT NA WA...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikiongoza kikao cha pamoja kati ya Uongozi wa Shirika la Microsoft na Watendaji wa Mawasiliano, Sayansi na Elimu ya Juu wa SMT Na SMZ...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MHE. JANUARY MAKAMBA AWASILI WASHINGTON, DC KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA...

Naibu Waziri wa mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba akiwa na mkewe Ramona Makamba wakipokewa na Afisa Ubalozi Mindi Kasiga(wapili toka kushoka) na mwenyekiti wa Vijimambo Baraka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA KUFANYA TAMASHA LA KUADHIMISHA JUBLEI YA...

Kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti jijini Dar es Salaam watarajia kufanya tamasha la kusherekea jubilee ya miaka 25 ya kwaya ya yao. Tamasha hilo la aina yake linatarajiwa kufanyika Jumapili ya tarehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BAADA YA ZIARA YA RUVUMA NA MBEYA, KINANA ACHAPA KAZI WANGING'OMBE NA NJOMBE

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  watatu kushoto, akiungana na Vijana wa CCM kula kiapo cha uanachama, baada ya kuwakabidhi kadi za Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) vijana 40, katika mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA ZANZIBAR, LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua kitambaa kuzindua mradi wa maji safi na salama katika shehia ya Chumbuni mjini Zanzibar wakati wa uzinduzi huo...

View Article


*CHEKI HAPA BAO LA NEWCASTLE DHIDI YA MAN U LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TANZANITE YAKUBALI KIPIGO CHA MABAO 4-1 DHIDI YA WATOTO WA MANDERA

Mshambuliaji wa Tanzanite, Shelda Boniface (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Afrika ya Kusini, Meagan Newman, wakaati wa mchezo wa kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia kwa wanawake chini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAKENYA TISHIO UHURU MARATHON, MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA MBIO ZA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru (Uhuru Marathon) zilizomalizikia kwenye Viwanja vya Leaders...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS JAKAYA KIKWETE ATOA CHANGAMOTO KWA UONGOZI MPYA TFF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametoa changamoto kwa uongozi mpya wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kusukuma mbele zaidi gurudumu la maendeleo ya mchezo huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*PAMBANO LA TANZANITE LAINGIZA SH. MIL 5/-

Pambano kati ya timu ya Taifa ya wanawake kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 ya Tanzania (The Tanzanite) dhidi ya Afrika Kusini (Basetsana) lililochezwa jana (Desemba 7 mwaka huu) Uwanja wa Taifa,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MECHI YA KILIMANJARO STARS NA HARAMBEE STARS KUPIGWA MACHAKOS

Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya michuano ya mwaka huu ya Kombe la Chalenji kati ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) na wenyeji Kenya (Harambee Stars) itapigwa Uwanja wa Machakos.Kwa mujibu wa ofisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA UFARANSA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati aliposimama kwa muda katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi akiwa njiani kurejea nyumbani baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MVUA YA MASAA MACHACHE JIJINI DARA HATARI TUPU MAENEO YA TABATA

Kutokana na Mvua iliyonyesha jijini Dar es Salaam, mida ya mcha huu baadhi ya maeneo yameathirika na mvua hiyo hususan eneo la Tabata, ambako baadhi ya nyumba zimezungukwa na mafuriko kutokana na mvua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MHE. JANUARY MAKAMBA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV

 Naibu Waziri wa mawasiliano, sayansi na teknologia, Mhe. January Makamba akiongozana na Afisa Ubalozi Mindi Kasiga siku ya Jumamosi Dec 7, 2013 College Park Maryland, siku alipotembelea darasa la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKESHA WA SHEREHE ZA UHURU ZILIVYOFANA DMV

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Januari Makamba akiongozana na mkewe Ramona Makamba  wakiwasili ukumbini na kulakiwa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchinii Marekani na Mexico Afisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SIKU YA WANAFAMILIA WA NBC ILIVYOFANA JIJINI DAR JANA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo na familia zao wakati wa sherehe za Siku ya Wanafamilia wa NBC kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA ZAFANA UWANJA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasabahi wananchi waliofurika kwenye Uwanja wa Uhuru leo, alipokuwa akiwasili uwanjani hapo...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>