*SAFARI YA KINANA KWA USAFIRI WA TRENI, MAKAMBO-DAR KWA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akipanda behewa na wasaidizi wake, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiani wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (katikati) na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape...
View Article*JANUARI MAKAMBA AZUNGUMZA NA WANA DMV
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Iddi Sandaly akiutambulisha uongozi mzima wa jumuiya kwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Jamuary Makamba ambaye Jumapili Dece 8, 2013...
View Article*KLABU YA RIADHA YA HAMEENLINNAN KUWAPIGA TAFU WANARIADHA WA JUMUIYA YA MADOLA
Klabu ya riadha ya Hameenlinnan Tarmo ya Finland imeeleza kuguswa na changamoto wanazopata wanariadha wa Tanzania na kujitolea kuwasaidia pea 20 za viatu 'spikes' kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya...
View Article*ALL STARS YAPAA LEO KWENDA NAIROBI KUKIPIGA NA WAZEE WA KAZI
Timu ya wachezaji wa zamani wa Tanzania, All Stars wanaondoka leo kwenda Nairobi, Kenya kucheza mechi maalum ya kirafiki dhidi ya wachezaji wa zamani wa Kenya, Wazee wa Kazi uliopangwa kufanyika...
View Article*MKURUGENZI MKUU WA PSPF NA MSAFARA WAKE WAUZA SERA ZAO DMV
Mkurugenzi mkuu wa PSPF Bwn. Adam Mayingu akiuza sera za PSPF alipokutana na wanaDMV Jumapili Dec 8, 2013 pamoja na kuanguka kwa theluji DMV Watanzania walijitahidi kutokea kwenye mkutano huo na baada...
View Article*MAANDALIZI YA MAZISHI YA RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA YA KUSINI NELSON MANDERA...
Hili ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi...
View Article*RAIS KIKWETE AWASILI NCHINI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MAZIKO YA MZEE NELSON...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo Desemba 10, 2013 tayari kuhudhuria maziko ya Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee Nelson R. Mandela.Kwa mujibu wa taarifa...
View Article*HITIMISHO LA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, jana usiku wakati wa sherehe za...
View Article*TAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG....
TAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA.LEO, JUMANNE, TAREHE 10/DESEMBA/2013, OFISI NDOGO YA CCM DAR- ES- SALAAMSisi...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE AMKUMBUKA HAYATI MANDERA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais wa kwanza wa Arika ya Kusini Mzee Nelson Mandela wakati walimpomtembelea kwenye ofisi ya Taasisi yake jijini Johanesburg tarehe...
View Article*WANAWAKE WAFANYAKAZI WA NBC WAZINDUA MTANDAO UTAKAOJUMUISHA WATEJA WANAWAKE
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Mizinga Melu (katikati) na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Grace Rubambey (kushoto) na Mwenyekiti wa Mtandao...
View Article*DAWATI NI ELIMU CAMPAIGN RAISE TSH. 4.98 BILION TO CURB A SHORTAGE OF DESKS...
Hyatt Regency The Kilimanjaro Hotel General Manager, Mr. Trevor Saldanha, exchanging views with His Worship Mayor of Ilala, Hon. Jerry Silaa,during the official launching of the annual Mayors Charity...
View Article*HARAMBEE STARS INAONGOZA 1-0 DHIDI YA KILIMANJARO STARS 0
Timu ya Harambee Stars inaongoza bao 1-0 dhidi ya Kilimanjaro Stars, bao lililofungwa katika dakika ya nane na mpira ni mapumziko.
View Article*FAINALI MICHUANO YA CAHLENJI NI HARAMBEE v/s SUDAN, KILIMANJARO 'OUT'
Timu ya Harambee Stars imejikatia tiketi ya kucheza fainali za michuano ya Chalenji na Sudan, baada ya kuiondosha Kilimanjaro Stars kwa bao 1-0 lililofungwa katika dakika ya tano kipindi cha kwanza bao...
View Article*KANAL TOP WA AKUDO, NI KWELI 'AMENYONGWA AU KUNYONGWA' CHINA??????
Baada ya kuenea tetesi za kukamatwa Rapa mahiri wa Bendi ya Akudo Impact, Kanal Top, huko nchini China mapema mwezi uliopita, sasa kuna taarifa kuwa huenda rapa huyo akawa tayari ameshanyongwa baada ya...
View Article*CHRISTIAN BELLA ATAMANI 'KUMKAMPANI' GURUMO TAMASHA LA JUMAMOSI TCC CLUB
Christian Bella.MWIMBAJI wa bendi mpya ya Malaika, anayetamba sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Christian Bella, amethibitisha kushiriki Tamasha la Gurumo litakalofanyika Jumamosi ya wiki hii kwenye...
View Article*RAIS KIKWETE AUNGANA NA VIONGOZI WENGINE KATIKA MISA NA KUMBUKUMBU YA NELSON...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumanne, Desemba 10, 2013, ameungana na viongozi wa mataifa mbali mbali duniani na maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini...
View Article