$ 0 0 Timu ya Harambee Stars inaongoza bao 1-0 dhidi ya Kilimanjaro Stars, bao lililofungwa katika dakika ya nane na mpira ni mapumziko.