*TAARIFA KUTOKA KWA WATUHUMIWA ZITTO KABWE, ALBERT MSANDO NA SAMSON MWIGAMBA
Taarifa kwa vyombo vya habari Baada ya kupokea barua yake ya mashtaka 11 tarehe 01/12/2013 ambayo anashitakiwa nayo na iliyomtaka ajitetee kwa maandishi, Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe (MB) jana...
View Article*UZINDUZI RASMI WA MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2013 , KINGOLWIRA...
Masoud Kipanya, Mkurugenzi Mtendaji wa Maisha Plus, akizungumza na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa Maisha Plus/Mama Shujaa wa Chakula 2013 Kingolwira Morogoro , pia kumkaribisha Mgeni rasmi...
View Article*MWILI WA HAYATI NELSON MANDERA KUANZA KUAGWA KATIKA JENGO LA UNION, PRETORIA
Askari wakibebea Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandera, kuingiza katika Jengo la Union Buildings, lililopo jijini Pretoria kwa ajili ya shughuli za kutoa heshima za mwisho zitakazofanyika kwa...
View Article*FM ACADEMIA WAJIPANGA KUZINDUA ALBAM YAO MPYA YA 'CHUKI YA NINI' DEC 21,...
BENDI ya muziki wa dansi ya Mashujaa Musica 'Wazee wa Kibega' inatarajia kupamba uzinduzi wa albamu ya 'Chuki ya Nini' ya bendi ya FM Academia utakaofanyika Desemba 21 mwaka huu jijini Dar es...
View Article*PSPF KUFANYA MKUTANO NA WATANZANIA WAISHIO NEW YORK
Mfuko wa Umma wa Pensheni wa Tanzania (The Public Service Pensions Fund au PSPF) unaandaa mkutano na Watanzania waishio New York , New Jersey , Connecticut , Pennsylvania na Springfield siku ya ijumaa...
View Article*RAIS KIKWETE, MAMA SALMA WAKIWA KATIKA KUMBUKUMBU YA NELSON MANDERA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg jana Jumanne Novemba 10, 2013. Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View Article*SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAKUSANYA KIASI CHA SH. BILIONI 44.5 HADI 2012
Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta nchini Bw. Deus Mndeme akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mpango kabambe wa miaka 10 wa shirika hilo kupitia utekelezaji wa sera na mipango...
View Article*MTOTO ALIYEZALIWA MAHABUSU ATIMIZA MIAKA 2 MAHABUSU AKIWA NA WAZAZI WAKE...
Mtoto Azra Vuyo Jack, 2, akiwa na mwandishi wa Mbeya Yetu Blog, Joseph Mwaisango, nje ya mahakama wakati kesi ya wazazi wake ikienedelea kusikilizwa.Moto Azra Vuyo Jack alipokuwa na umri wa miezi...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MPANGO WA TAIFA HUDUMA ZA FEDHA NCHINI.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) , Prof. Benno Ndulu, akisaini mfano wa cheti cha Mpango wa Taifa wa Huduma za Fedha wenye lengo la kusimamia na kutafuta ufumbuzi wa changamoto...
View Article*MATEKE KUPIGWA KATIKA PAMBANO LA JAPHET KASEBA DESEMBA 22
LILE pambano linalosubiriwa kwa hamu kubwa kati ya bondia, Alibaba Ramadhan na bingwa, Japhet Kaseba, sasa litakuwa na sura mpya ya mapigano, baada ya muandaaji wa pambano hilo, Ibrahim Kamwe,...
View Article*MDAU NGOWI ALAMBA NONDOZ YA BA IN ACOUNTING AND FINANCE
Mdau Gelard Ngowi, akipozi wakati wa mahafali ya chuo kikuu mzumbe akisubiri kutunukiwa 'nondoz' yake katika masuala ya uhasibu na fedha ambapo alitunukiwa shahada ya kwanza (BA IN ACOUNTING AND FINANCE)
View Article*MAMA KIKWETE AWATAKA WATANZANIA KUTUMIA MAKTABA KUJISOMEA
Na Anna Nkinda – MaelezoWatanzania wametakiwa kutumia maktaba zilizopo kusoma vitabu na machapisho yaliyopo ili waweze kujiongezea elimu na ufahamu zaidi wa masuala mbalimbali yahusuyo maisha na elimu...
View Article*TMA YATOA TAHADHARI YA MVUA KUBWA NCHINI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA Simu: 255 22 2460735/2460706 FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056 Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAM...
View Article*RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo.Kushoto ni...
View Article*KILIMANJARO STARS HOI KWA ZAMBIA YASHINDWA KUCHUKUA NAFASI YA TATU, MABOMU...
Mshambuliaji wa Tanzania Bara, 'Kilimanjaro Stars', Mbwana Samatta akienda chini bada ya kukwatuliwa na wachezaji wa Zambia katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu wa Kombe la Mataifa ya Afrika...
View Article*MAELFU YA WANANCHI WA AFRIKA YA KUSINI WAFURIKA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA...
Wananchi wa Afrika ya Kusini, wakiwa katika foleni kubwa ya kuelekea kutoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Hayati Nelson Mandera, katika majengo ya Ikulu Pretoria, leo.Foleni ya...
View Article*MASTAA WA SIKINDE KUSHUKA NA NYIMBO 5 TAMASHA LA GURUMO JUMAMOSI TCC CLUB
*Komandoo kuibuka na 2, Mzee Makassy na Anifa wakeWANAMUZIKI nyota waliowahi kutamba na bendi ya DDC Mlimani Park “Sikinde Ngoma ya Ukae” watapiga bonge la show kwenye tamasha la Gurumo Jumamosi hii...
View Article*NATIONAL GEOGRAPHIC WASHINGTON, DC YAFAGILIA MBUGA ZA WANYAMA ZA TANZANIA
National Geographic ya Washington, DC siku ya Jumatano, Dec 11, 2913 walionyesha vivutio mbalimbali vilivyopo kwenye mbuga zetu za wanyama kwa wahudhuriaji ambao wengi wao walikua Wamarekani pia...
View Article*KIKOSI CHA KILIMANJARO STARS KUWASILI DAR LEO
Timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) iliyoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji iliyomalizika jana jijini Nairobi, Kenya inarejea jijini Dar es Salaam leo. Kilimanjaro Stars iliyomaliza michuano...
View Article*MITIHANI YA WAAMUZI KUFANYIKA JUMAPILI
Robo ya mwisho ya mitihani ya waamuzi (Cooper Test) na utimamu wa mwili (physical fitness test) kwa mwaka 2013 kwa waamuzi inafanyika Jumapili (Desemba 15 mwaka huu).Mitihani hiyo inayofanyika Uwanja...
View Article