
Askari wakibebea Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandera, kuingiza katika Jengo la Union Buildings, lililopo jijini Pretoria kwa ajili ya shughuli za kutoa heshima za mwisho zitakazofanyika kwa siku tatu, kabla ya mwili huo kuzikwa rasmi, Desemba 15, siku ya jumapili, Kijijini kwa marehemu, Qunu.


Wananchi wakionyesha furaha baada ya kuona gari lililobeba jeneza lenye mwili wa Nelson Mandera.

Msafara wa gari lililobeba mwili wa Hayati Nelson Mandera, ukipita mitaani huku wananchi wakiwa wamejipanga pembezoni mwa barabara kushuhudia.