Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akingoza kikao cha kamati kuu ya CCM kilichofanyika katika makao makuu ya CCM Mjini Dodoma leo.Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA MMOJA JIJINI ARUSHA AMWAGIWA MAJI YA MOTO MWILI MZIMA KISA 'WIVU WA...

Bi Neema Teti, akiwa amelazwa katika wodi ya Hospitali ya Mount Meru, baada ya kujeruhiwa kwa kumwagiwa maji ya moto na jirani yake aliyemtuhumu kuwa anatembea na mume wake jijini Arusha. Na Gadiola...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HASSAN DILUNGA AANGUKA WINO RASMI WAKATI YANGA IKIICHAPA KMKM 3-2 UWANJA WA...

 Meneja wa Yanga, Afidh Ally, akimsainisha Fomu za usajili za TFF, kiungo mpya aliyejiunga na timu hiyo akitokea Ruvu Shooting, ambaye anatarajia kukipiga kwa mkataba wa miaka miwili na Klabu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*AJALI ZA KUELEKEA MWISHO WA MWAKA ZAANZA KUTAWALA, MWINGINE AFARIKI DARALA...

 Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza fahamika mara moja, amepoteza maisha leo asubuhi katika Daraja la Kawe lililopo karibu kabisa na Kambi ya JKT, baada ya kupata ajali iliyopelekea gari lake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA SALMA KIKWETE AJUMUIKA NA WATOTO YATIMA KWENYE SHEREHE YA MWAKA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpatia zawadi ya Krismas na Mwaka Mpya Binti Asnah Sudi, kutoka kituo cha kulelea watoto yatima cha Umra kilichoko Magomeni, wakati wa sherehe ya mwaka kwa watoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMBO MAKUU ILIYOIBUKA NAYO KAMATI KUU, WABUNGE WAHAHA NA MAFAILI KUHOJIWA...

Nape akizungumza na waandishi wa habari leo.NA BASHIR NKOROMOKamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kikao chake kilichofanyika jana mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SHUGHULI YA MAZISHI YA MZEE NELSON MANDELA ZINAZOENDELEA KIJIJINI KWAKE QUNU

Kamera ya Globu ya Jamii ipo Ndani ya Hema maalumu ambamo shughuli ya mazishi ya marehemu Nelson Mandela inaendelea hivi sasa katika kijijini Qunu.na kama ilivyo ada ya libeneke la Globu hili kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WA JESHI

 Amiri Jeshi Mkuu ,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Luteni usu Evarist Mawalla wakati alipowatunuku Kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi Tanzania baada ya kuhutimu mafunzo yao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*YANGA YAFANIKIWA KUMNASA ALIYEONGOZA MAUAJI YA 5-0 DHIDI YAO EMMENUEL OKWI

Mchezaji wa Kimataifa wa Uganda, ambaye pia aliwahi kuichezea Simba ya Tanzania, Emmanuel Okwi akiweka alama ya Dole Gumba mbele ya Mjumbe wa Kamati ya Mashindo Musa Katabaro (kushoto) wakati akisaini...

View Article


*WANACHAMA ZAIDI YA 400 WATINGA MJENGONI DOM KUMSAMBARATISHA RAGE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM MKOA WA MWANZA CLEMENT MABINA AUAWA NA WANANCHI...

MWENYEKITI wa zamani wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Mwanza Clement Mabina, ambaye pia ni diwani wa kata ya Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza ameuawa na wananchi wenye hasira katika ugomvi wa...

View Article

*HOTUBA YA RAIS KIKWETE NA KENETH KAUNDA KATIKA MAZISHI YA NELSON MANDELA JANA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*AJALI NYINGINE BABU ANUSURIKA ANASULIWA NA WACHEZAJI WA VPO

 Mmoja kati ya wachezaji wa timu ya Soka ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Kibiki (kulia) akijitahidi kutafuta mbinu za kumnasua Dereva wa gari ndogo ambaye hakuweza kufahamika jina lake kwa haraka lenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TIMU YA SOKA YA VPO YAICHAPA ISTIQAAMA MABAO 2-1 KWAO

 Kikosi timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais Kikosi cha timu ya Istiqaama Meza kuu ya mgeni rasmi, Balozi msaidizi wa Urusi, Vicent Kalchenko wa tatu (kulia) na baadhi ya viongozi.  Katibu wa Timu ya VPO,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZIRI MAGHEMBE AKABIDHI VISIMA 20 VILIVYOKARABATIWA NA TBL WILAYANI MISUNGWI

 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL) wa mikoa ya Simiyu, Mwanza  na Mara, Josephat Changwe, akimwongoza Waziri wa Maji , Profesa Jumanne Maghembe (kulia) kuzindua moja ya visima 20 vya maji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ZuRii BOUTIQUE CHRISTMAS SALE IS NOW ON

The Zurii Fashion & Beauty Boutique Christmas sale is now on. Don't miss a trick with ZuRii massive Clearance goodies. We've got great bargains of up to 50%  off. Be the envy of your friends and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WABUNGE WAPIGWA MSASA KUHUSU CHANGAMOTO ZA MILLENIA NA MKAKATI WA “MATOKEO...

 Mtaalamu wa mipango wa shirika la maendeleo la umoja wa mataifa hapa nchini, UNDP, Amon Manyama. (Kulia), akifungua warsha ya siku moja  moja iliyoandaliwa na ofisi ya bunge kwa kushirikiana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TANZANITE, BATSESANA KURUDIANA DES 21

Mechi ya marudiano ya raundi ya pili kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia kwa wasichana wenye umri chini ya miaka 20 kati ya Tanzania (Tanzanite) na Afrika Kusini (Batsesana) itachezwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MECHI YA STAND, KANEMBWA KURUDIWA TABORA

Mechi ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kati ya Stand United na Kanembwa JKT iliyochezwa Novemba 2 mwaka huu Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga na kuvunjika, sasa itarudiwa Februari 1 mwakani.Uamuzi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA TNBC JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Kikwete, akifungua rasmi Mkutano wa TNBC uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam jana. Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tanzania Private...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>