Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KING CLASS MAWE, IDDY MNYEKE WAJIFUA KAMBI YA ILALA KUJIANDAA NA MCHEZO WA...

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) akiwa katika mazoezi na Shabani Kaoneka, katika kambi ya ilala. King Class Mawe anajiandaa kwa ajili ya mpambano wake na Mohamed Kashinde utakaofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKAZI WA MOSHI AKABIDHIWA JENERETA YAKE YA WEKA UPEWE YA NBC

 Mshindi wa promosheni ya Weka Upewe ya NBC, Michael Charles Kipingu (kushoto) akijaribu kuwasha jenereta yake mara baada ya kukabidhiwa na Meneja wa NBC Tawi la Moshi, Ally Janja (mwenye suti). Hafla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*JUMUIA YA WAZAZI CCM KINONDONI WAENDA MOROGORO KUJINOA

 Baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata za wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, wakiwa kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni wakati wakisubiri kuanza safari ya kwenda Morogoro leo kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATESO NA MANYANYASO YA RAFIKI YAMFANYA AISHI KWENYE HANDAKI KWA MIAKA...

Chacha Makenge (36) akiwa amepozi ndani ya chumba chake 'handaki'.DUNIA haiishi vituko! Chacha Makenge (36) mzaliwa wa Kijiji cha Kisangula, Mtukula, Serengeti mkoani Mara anaishi jijini Dar lakini...

View Article

*KIJIWE CHA UGHAIBUNI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SEMINA YA WAZAZI YAFUNGULIWA MOROGORO

 Katibu wa Itikadi na Uenezi mkoa wa Morogoro, Dorothy Mwamsiku, akifungua semina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, wilaya ya Kinondoni, leo Des 17, 2013, katika hoteli ya Road View, nje kidogo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATUKIO YA MICHEZO YA BANDARI ‘INTER-PORTS'

 Katibu Mkuu wa Dowuta Taifa, Bw. Jonathan Msoma akizungumza na Wanamichezo wa Bandari, katika siku ya kufunga michezo iliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Sigara Chang’ombe. Kulia ni Kaimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KUWAONA YANGA v/s SIMBA MECHI YA MTANI JEMBE NI BUKU 5,000/=

 Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga itakayochezwa Jumamosi (Desemba 21 mwaka huu) ni sh. 5,000. Kiingilio hicho ni kwa viti vya rangi ya kijani ambavyo ni 19,648.Kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TANZANITE YAWASILI JOHANNESBURG LEO KUIVAA BATSESANA

Boniface Wambura MgoyoKikosi cha wachezaji 20 na viongozi tisa cha timu ya Tanzania ya wasichana chini ya miaka 20 (Tanzanite) kimewasili leo jijini Johannesburg tayari kwa mechi dhidi ya wenyeji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ANITA'S DIARY BY LULU MERO

ANITA'S DIARY. The one and only fiction novel about a Tanzanian Girl named Anita who studied abroad, and faced challenges living alone away from her rich family in college in the States, and then she...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MSANII WA MUZIKI WA BONGO REMMY WILLIAMS ATUA BONGO

MSANII wa muziki wa Kizazi kipya 'Bongo Fleva' Remmy Williams (katikati) akilakiwa na baadhi ya warembo waliojitokeza kumpokea uwanja wa ndege leo.MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Remmy Williams akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*POSHO KWA WAWAKILISHI WA WANANCHI NI KIKWAZO CHA MAENDELEO YA TAIFA

Na. Zainul MzigeIngawaje Tanzania inaitwa nchi masikini pamoja na kwamba wahisani na wadau wa maendeleo wanasema ni nchi inayoendelea lakini kwa ujumla na kwa yeyote anayeijua nchi yetu kwa maana ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HOMA YA MPAMBANO WA MSONDO, SIKINDE YAZIDI KUPANDA, SIKINDE YAIENDEA MSONDO...

Na Badru KimwagaHOMA ya pambano la watani wa jadi katika muziki wa dansi nchini kati ya Mlimani Park 'Wana Sikinde' na Msondo Ngoma 'Baba ya Muziki' litakalofanyika siku ya Krismasi imeanza kupanda kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*JOKATE AZINDUA KIDOTI CLUB LEO

Miss Tanzania namba mbili 2006 na Mmiliki wa Kampuni ya Mitindo ya Kidoti, Jokate Mwegelo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana alipokuwa akizindua jinsi ya kupata dondoo za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI IDDI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA KWANZA WA JUMUIYA YA WALIMU WAKUU SHULE...

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiufungua Mkutano Mkuu wa kwanza wa Jumuiya ya Walimu Wakuu wa Skuli za Sekondari Zanzibar (JUWASEZA) uliofanyika katika ukumbi wa skuli ya Sekondari ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NMB YATOA MADAWATI SHULE YA MSINGI MAKUBURI JESHINI

 Meneja wa NMB Mlimani City Bw. Leonard Ngaya (kushoto) akikabidhi sehemu ya madawati 55 yenye thamani ya shilingi milioni tano kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Makuburi Jeshini Bi. Stella Kaluse...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NDEGE YA ETHIOPIAN AIRLINE YASHINDWA KUTUA KIA,YALAZIMIKA KUTUA NA KUSIMAMA...

Habari zilizoufikia mtandao huu hivi punde kutoka jijini Arusha, zinasema kuwa abiria zaidi ya 200 waliokuwa ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*FRANCIS MIYEYUSHO AJIFUA KUJIANDAA KUMDUNDA DAVID CHALANGA WA KENYA DESEMBA 31

Bondia Fransic Miyeyusho (kushoto) akiwa katika mazoezi chini ya msimamizi wake Doi Miyeyusho, katika Gym ya Lazima Ukae, iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MASHABIKI WA YANGA WALIVYOSOTA UWANJA WA NDEGE KUMPOKEA OKWI JANA

Baadhi ya mashabiki wa soka wa timu ya Yanga wa jijini Dar es Salaam, wakiwa kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jana wakati wakisubiri kumpokea mchezaji mpya aliyesajiliwa msimu huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA SALMA KIKWETE APEWA TUZO YA KIMATAIFA YA UONGOZI WENYE HAMASA

Na Anna Nkinda – Maelezo, DubaiMke wa Rais Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya Uongozi wenye Hamasa kwa mwaka 2013 (Global Inspirational Leadership Award 2013) kutokana na  kazi...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>