![]() |
Bondia Fransic Miyeyusho (kushoto) akiwa katika mazoezi chini ya msimamizi wake Doi Miyeyusho, katika Gym ya Lazima Ukae, iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wake wa kimataifa na Bondia David Chalanga wa Kenya unaotarajia kufanyika Desemba 31 katika Ukumbi wa Msasani Klabu. |
Miyeyusho akiendelea kujifua....Picha na Super D