*DKT. FENELLA AFUNGA SEMINA YA JUMUIYA YA WAZAZI WA CCM MJINI MOROGORO
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri wa Habari, VIjana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Kawe, Benjamin Joseph,...
View Article*YALE YALEEEE, NANI WA KULAUMIWA HAPA, DEREVA, MWENYE MZIGO AU ASKARI WA...
Magunia ya mkaa yakiwa yamemwagika katikati ya barabara ya Bagamoyo eneo la Bondeni Darajani 'Kawe', baada ya gari lililokuwa limebeba mkaa huo kuzidiwa uzito na kutokana na kubeba mzigo uliozzidi...
View Article*TASWIRA YA JIJINI DAR LEO
Moja ya barabara mpya ya Ubungo inavyoonekana Kutokana na ujenzi unaoendelea askari wamekuwa na kazi kubwa ya kuyadhibiti magari na hasa daladala ambazo muda wote wamekuwa wakipita kokote na...
View Article*OKWI ALIVYOPOKELEWA KIFALME NA MASHABIKI WA YANGA HADI MAZOEZINI KUJIANDAA...
Mchezaji wa Kimataifa Emmanuel Okwi (kulia) akijumuika na wachezaji wenzake wa Yanga katika mazoezi yao yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Kijitonyama leo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa 'Nani...
View Article*KASEBA, ALIBABA KUPIMA UZITO KESHO KWA AJILI YA KUZIPIGA JUMAPILI
Mabondia Jafet Kaseba wa jijini Dar es salaam na Alibaba Ramadhan wa Arusha, wanatarajia kupima afya na uzito kesho jumamosi ya tarehe 21 decemba 2013 saa nne asubuhi katika ukumbi wa Friends Corner...
View Article*HOTUBA YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, MHE. BALOZI SEIF A. IDDI...
Mheshimiwa Rashid Seif Suleiman, Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano,Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mheshimiwa Katibu Mkuu, Wizara ya Miundombinu na...
View Article*MABADILIKO YA TABIANCHI YANA MADHARA YA MALI NA UHAI WA BINADAMU - YUNA
Mwenyekiti wa Asasi ya vijana ya Umoja wa Mataifa (YUNA), Dr. Lwidiko Edward, akizungumza na vijana kutoka Asasi mbalimbali hapa nchini juu ya ushiriki wa vijana katika mkutano uliopita wa COP 19...
View Article*RIPOTI KAMILI ILIYOWAONDOA MADARAKANI MAWAZIRI WANNE
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na...
View Article*MECHI YA AZAM, SHOOTING TIKETI ZA ELEKTRONIKI
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeandaa mechi mbili za majaribio ya matumizi ya tiketi za elektroniki zitakazochezwa Uwanja wa Azam Chamazi, Dar es Salaam.Mechi ya kwanza itakuwa Desemba...
View Article*TAREHE YA MWISHO YA PINGAMIZI DIRISHA DOGO SASA NI DESEMBA 23
Desemba 23 mwaka huu ndiyo mwisho wa kipindi cha pingamizi kwa usajili wa dirisha dogo kwa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL).Katika VPL, Kagera Sugar, Mtibwa Sugar na...
View Article*BONDIA LULU KAYEGE AJIFUA KUJIANDAA NA PAMBANO LAKE NA MARIAM ABDALLAH DEC 25
Bondia Lulu Kayage (kushoto) akiwa katika mazoezi na Hamisi Belege wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala. Kayage anajiandaa na mpambano wake na Mariam Abdallah utakaofanyika Desemba 25...
View Article*MAMA REGINA LOWASSA ASHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA PAMOJA NA WATOTO WENYE...
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akishiriki kuhudumia chakula watoto wenye ulemavu katika Kituo cha Huduma ya Walemavu kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha kilichopo...
View Article*WANAOANZA KUKIMBIZA MECHI YA NANI MTANI JEMBE SIMBA v/s YANGA, LIVE KUTOKA...
Njia waliyoandaliwa wachezaji wakati wakiingia uwanjani kutoka katika vyumba vya kubadilishia nguo.*WANAOANZA KUKIMBIZA MECHI YA NANI MTANI JEMBE SIMBA v/s YANGA HAWA HAPA:- SIMBA:- Ivo Mapunda,...
View Article*JAPHET KASEBA NA ALIBABA WAPIMA UZITO KWA PAMBANO LAO KESHO
Mabondia Japhet Kaseba (kulia) na Alibaba Ramadhani wa Arusha wakitunishiana misuli wakati wa zoezi la kupima uzito ambapo Kaseba alipata jumla ya Kg 79 na Alibaba Kg 78. Kwa matokeo ya uzito huo...
View Article*MECHI YA MTANI JEMBE SIMBA INAONGOZA 2-0, MPIRA NI KIPINDI CHA PILI
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, akiruka hewani kushangilia bao la kwanza la Simba lililofungwa na Hamis Tambwe katika dakika ya 14, ya kipindi cha kwanza. Mshambuliaji wa Simba Hamis Tambwe,...
View Article*KASEJA AANZA NA GUNDU YANGA ATUNGULIWA 3-1 NA SIMBA
Wachezaji wa Simba na baadhi ya viongozi wao wakipozi na kombe lao kwa furaha baada ya kukabidhiwa kombe hilo kwa kuifunga Yanga katika mchezo wa Nani Mtani Jembe, uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa...
View Article*HOTUBA YA MH ZITTO Z. KABWE WAKATI WA MAPOKEZI YAKE KIGOMA LEO
Leo nina furaha kubwa sana kwani baada ya safari ndefu na yenye changamoto nimerudi nyumbani kuwasalimu wananchi wenzangu! Na hii si salamu za kawaida bali nawasalimu kwa salaam za demokrasia,...
View Article*NAPE ,AWAPA TANO' MAWAZIRI WALIOJIWAJIBISHA
*Asema ni fundisho kwa watakaolala*Ataka hatua zaidi zichukuliwe*ziara za Kinana zimesaidia sana kutatua kero*Bado moto wa ziara hizo haujapamba*2015 CCM kurejesha viti vya ubunge, Udiwani vilivyoko...
View Article