Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*WANAOANZA KUKIMBIZA MECHI YA NANI MTANI JEMBE SIMBA v/s YANGA, LIVE KUTOKA UWANJA WA TAIFA

$
0
0
 Njia waliyoandaliwa wachezaji wakati wakiingia uwanjani kutoka katika vyumba vya kubadilishia nguo.

*WANAOANZA KUKIMBIZA MECHI YA NANI MTANI JEMBE SIMBA v/s YANGA HAWA HAPA:- 

SIMBA:- Ivo Mapunda, Haruna Shamte, Issa Rashid, Joseph Owino, Donald Msoti, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Henry Joseph, Hamis Tambwe, Said Hamis na Awadh Juma.

BENCHI LA AKIBA NI:- Yaw Berko, Omary Salum, William Lusian, Ramadhan Chombo, Ramadhan Singano, Zahoro Pazi na Amri Kiemba.

YANGA:-Juma Kaseja, Mbuyu Twite, Davis Luhende, Nadir Haroub 'Canavaro', Kelvin Yondani, Athuman Iddi 'Chuji', Haroun Niyonzima, Frank Domayo, Didier Kavumbagu, Mrisho Ngassa na Hamis Kiiza.

BENCHI LA AKIBA NI:- Deogratius Munishi, Oscar Joshua, Juma Abuu, Simon Msuva, Rajab Zahiri, Hassan Dilunga, Emmanuel Okwi na Said Mahanuzi, Reliants Lusajo, Jerson Tegete, Nizar Khalfan na Hamis Thabit.
 Sehemu ya mashabiki wa Yanga, waliokwisha keti katika siti zao wakisubiri kuishangilia timu yao.
Sehemu ya mashabiki wa Simba, waliokwisha keti katika siti zao wakisubiri kuishangilia timu yao.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>