*BREAKING NEEEEWZ!!!! BAADA YA KIPIGO CHA 3-1 YANGA KUITISHA MKUTANO NA...
Wakati uongozi wa klabu ya Yanga umeitisha mkutano na waandishi wa habari kesho (Desemba 22), kocha msaidizi wa mabingwa hao, Fred Felix Minziro amesema wakati wa kupanga timu kwa mazoea sasa umekwisha...
View Article*UZINDUZI WA RIPOTI YA UWEZO
Msanii Mrisho Mpoto akielezea kupitia mashairi Mama Zaida Mgalla akitoa ufafanuzi kwa ripota wa Uwezo TV Bi. Melania Mhagama Mgeni Rasmi akionyesha ripoti baada ya kuzindua.Wakati ambapo asilimia 100...
View Article*FULL MKANDA MATUKIO YA MCHEZO WA MTANI JEMBE WA SIMBA NA YANGA LEO TAIFA
Nahodha wa Simba, Haruna Shamte, akiinua juu Kikombe na kufurahia baada ya kukabidhiwa rasmi kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Yanga katika mchezo wa kirafiki wa Nani Mtani Jembe, uliochezwa leo jioni...
View Article*MOHAMED NA ELIZABETH WALIVYOMEREMETA JUZI
Bwana Harusi Mohamed Mkangala na mkewe Elizabeth, wakiingia ukumbini wakati wa sherehe ya ndoa yao iliyofanyika kwenye Ukumbi wa NSSF Water Front, Desemba 20, 2013. Wanandoa hao walifunga ndoa yao...
View Article*EDWARD LOWASSA AFUNGUA TAMASHA LA MADEREVA WA BODABODA JIJINI DAR
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwapungia mkono kuwaaga madereva wa bodaboda baada ya kumaliza kufungua tamasha lao lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders club Kinondoni, jijini Dar es...
View Article*KASEBA NA USHINDI WA 'MAGUMASHI' DHIDI YA ALIBABA MASHABIKI WAKE WATAMPONZA
Bondia Japhet Kaseba, akitangazwa mshindi baada ya pambano hilo kuvunjika katika raundi ta tano. Japhet Kaseba (kushoto) na Alibaba, wakichapana ulingoni.Na Sufianimafoto.comMARA kadhaa mapambano ya...
View Article*UFUNGUZI WA MATEMBEZI YA UVCCM ZANZIBAR MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,alipowasili katika uwanja...
View Article*VIJANA WAMPONGEZA JK KUWAWAJIBISHA MAWAZIRI WANNE
MWENYEKITI WA CCM, RAIS KIKWETENA BASHIR NKOROMOUMOJA wa Vijana wa CCM, Kata ya Mabibo, Kinondoni jijini Dar es Salaam, umempongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwa kuwavua uongozi mawaziri...
View Article*TUJIKUMBUSHE NA ANALOJIA, WAMKUMBUKA HUYU????
Huyu si mwingine bali ni msanii maarufu na mahiri wa kujinyonga nyonga, 'WABOGOJO' aliyapata kutamba siku za nyuma na msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Mr. Nice, ambaye kwa sasa amezimika na hajulikani...
View Article*KITUO CHA POLISI OYSTERBAY KUBOMOLEWA NA KUJENGWA MADUKA YA KISASA
Kituo cha Polisi cha Oysterbay, pamoja na nyumba za Polisi wanaoishi katika Kambi hiyo, vitabomolewa kwa ajili ya kupisha ujenzi wa maduka ya kisasa mfano wa Mlimani City ujenzi unaotarajia kuanza...
View Article*MECHI YA NANI NMTANI JEMBE YAINGIZA JUMLA YA SH. MIL 422/-
Mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Desemba 21 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 imeingiza sh. 422,611,000.Mapato hayo ni...
View Article*YANGA SASA KUSAKA KOCHA MPYA, BRANDTS KUTUPIWA VIRAGO NI KIPIGO CHA 3-1 AU...
Na Leca Kimaro, DarIKIWA ni siku mbili tu baada ya kufungwa na mahasimu wao Simba mabao 3-1 katika mchezi wa kirafiki wa Nani Mtani Jembe kwenye Uwanja wa Taifa, Klabu ya Yanga SC ya jijini Dar es...
View Article*WINGA WA ZAMANI WA YANGA, EDIBILY JONAS LUNYAMILA HOI HOSPITALI YA MWANANYAMALA
WINGA wa zamani wa timu ya Yanga na Taifa Stars, Edibily Jonas Lunyamila, leo asubuhi amekimbizwa katika hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya matibabu baada ya kusumbuliwa na kifua ambako amelazwa...
View Article*MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA KWA...
Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila akiwakabidhi msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya ambao ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New...
View Article*WAKAZI WA ARUSHA NA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA KRISMAS
Wakazi wa jijini Arusha wakikwa katika maandalizi ya Sikukuu ya Krismas wakichagua nguo na mahitaji mengine katika Soko dogo la Friends Corner lililopo katikati ya jiji hilo kama walivyonaswa na...
View Article*UZINDUZI WA MFUKO WA UWEZESHAJI MJINI ZANZIBAR JUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiteta jambo na Wazuri wa Kazi,uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Mwenyekiti wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi haroun...
View Article*MERRY CHRISTMAS & NEW YEAR WADAU WOTE WA SUFIANIMAFOTO
Mtandao huu wa www.sufianimafoto.com, unapenda kuwatakia heri ya Sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya, wadau wote wa Mafoto, Ndugu Jamaa na marafiki popote mlipo Duniani, Marry X-Massssssssssssss....
View Article*MABASI YENYE UWEZO WA KUTEMBEA MAJINI NA NCHI KAVU KUZINDULIWA NCHINI...
Kampuni ya Transevents Marketing Ltd ya nchini Tanzania kwa kushirikiana na kampuni la Dutch Amfibious Transport (DAT) inayotengeneza mabasi kutoka Uholanzi yenye uwezo wa kutembea nchi kavu na majini...
View Article