Huyu si mwingine bali ni msanii maarufu na mahiri wa kujinyonga nyonga, 'WABOGOJO' aliyapata kutamba siku za nyuma na msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Mr. Nice, ambaye kwa sasa amezimika na hajulikani wala kusikika tene kama alivyokuwa wakati huo. Hapa ni wakati akiua njaa katika moja ya shoo ya Mr. Nice ambapo alikuwa akiwachengua vilivyo mashabiki na kujizolea mijihela kibao.
↧