Wakazi wa jijini Arusha wakikwa katika maandalizi ya Sikukuu ya Krismas wakichagua nguo na mahitaji mengine katika Soko dogo la Friends Corner lililopo katikati ya jiji hilo kama walivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto, asubuhi hii.
Ni heka heka tu kila mmoja akiwa bize kuchagua akipendacho ilimradi tu kufanikisha siku muhimu ya sikukuu ya Krismas kesho.