Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*UZINDUZI WA MFUKO WA UWEZESHAJI MJINI ZANZIBAR JUZI

$
0
0
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiteta jambo na Wazuri wa Kazi,uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Mwenyekiti wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi haroun Ali Suleiman,juzi wakati wa Uzinduzi wa Mfuko huo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi cheti Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Chiku Matesa,kutokana na mchango wa Shirika hilo wa Tshs millioni Mia Moja,wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa  Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi cheti Naila Jidawi,akiwa Mjumbe wa kamati ya  Mfuko wa  Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakati wa uzinduzi wa mfuko huokatika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi cheti Mahmoud Thabit Kombo,akiwa Mjumbe wa kamati ya  Mfuko wa  Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakati wa uzinduzi wa mfuko huo,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipokea zawadi maalum ya meli ya Mv.Mapinduzi iliyotengenezwa kwa ubunifu mkubwa,zawadi hiyo iliyotayarishwa na Kamati ya Mfuko wa  Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakati wa uzinduzi katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwa amesimama na zawadi yake ya mfano wa meli ya Mapinduzi baada ya kukabidhiwa na Kamati ya Mfuko wa  Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar. Kulia Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto,Bi Zainab Omar Mohamed
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipokea zawadi Jahazi maalum lililotolewa na Wizara ya ,Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto,inayoongozwa na Bi Zainab Omar Mohamed.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitoa hutuba yake  wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa  Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na Kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar. Kamati hiyo tayari imeshakusanya zaidi ya sh. bilioni 1.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha wachangiaji wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>