Magunia ya mkaa yakiwa yamemwagika katikati ya barabara ya Bagamoyo eneo la Bondeni Darajani 'Kawe', baada ya gari lililokuwa limebeba mkaa huo kuzidiwa uzito na kutokana na kubeba mzigo uliozzidi uwezo wa gari hilo, jana. Gari hilo liliyumba na kumwaga mkaa huo wakati likipanda kijilima hiki (kushoto), ambapo imekuwa ni kawaida kwa magari yanayobeba mkaa kuwa yakibeba mzigo mzito kuzidi uwezo wa gari huku yakikatiza mbele ya askari wa usalama barabarani tena maeneo ya makazi ya watu bila kuchukuliwa hatua.
↧