Moja ya barabara mpya ya Ubungo inavyoonekana
Kutokana na ujenzi unaoendelea askari wamekuwa na kazi kubwa ya kuyadhibiti magari na hasa daladala ambazo muda wote wamekuwa wakipita kokote na kusababisha foleni.
Barabara ya Kivukoni ikiwa katika ujenzi
Ujenzi ukiendelea
Hapa ni kituo cha Posta ya zamani kikiwa katik ujenzi
Fundi Pikipiki akiwa katika marekebiso ya usafiri huo eneo la Kamata Kariakoo.