*RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA USHIRIKIANO KATI YA AFRIKA NA UFARANSA
Rais Francois Hollande wa Ufaransa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jijini Paris kwenye mkutano unaohimiza kukuza ushirikiano wa kiuchumi kati ya Ufaransa na Afrika. Akizungumza katika...
View Article*JANUARY MAKAMBA KUUNGURUMA DMV JUMAPILI KUTAKUA NA KIPINDI CHA MASWALI NA...
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January MakambaJumuiya ya Watanzania DMV inapenda kuwakaribisha Watanzania wote siku ya Jumapili Desemba 8, 2013 Mhe. January Makamba...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye hafla ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sweden iliyofanyika jana katika...
View Article*WANACHAMA SIMBA KUMFUATA RAGE BUNGENI DODOMA AWAACHIE TIMU YAO
WANACHAMA wa Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, wamemtaka mwenyekiti wao Aden Ismail Rage kuachia ngazi ifikapo Desemba 7 mwaka huu, kabla ya wao kufunga safari kumfuata mjengoni mjini Dodoma kwa...
View Article*MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO(UB) ANAWATANGAZIA MAHAFALI YA KWANZA...
MAKAMU Mkuu wa Chuo KIkuu cha Bagamoyo (UB), Profesa Costa Ricky Mahalu anawatangazia mahafali ya kwanza ya kihistoria ya chuo hicho, yatakayofanyika Jumamosi Desemba 7 mwaka huu, Saa nne asubuhi...
View Article*MOI KUTUMIA ZAIDI YA SH. BILIONI 17 KWA UJENZI WA JENGO JIPYA LA KISASA
Meneja Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Jumaa Almasi akieleza kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) Mipango mbalimbali ya Taasisi hiyo ikiwamo utekelezaji wa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KAMPENI MPYA YA KUZUIA MALARIA YA M-ZINDUKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wasanii wa muziki wa Kizazi kipya 'Bongo Flava', walioshiriki katika kuandaa wimbo wa M Zinduka...
View Article*NELSON MANDERA AFARIKI DUNIA, RAIS KIKWETE AOMBOLEZA ATANGAZA SIKU 3 ZA...
Marehemu Nelson Rolihlahla Mandela enzi za uhai wake.Habari zilizoufikia mtandao huu zinaripoti kuwa, Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amefariki dunia majira ya saa mbili za usiku wa...
View Article*MAREHEMU PENINA PHILIPO MSUYA APUMZISHWA KWA AMANI KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE
Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usangi Mwanga akiendesha misa ya Kumuombea Marehemu Penina Philipo Msuya aliyefariki jijini Dar Es Salaam Desemba 1 mwaka huu kwa ugonjwa wa Moyo na...
View Article*PRESIDENT KIKWETE PARTICIPATES IN MEETING ON ELEPHANT AND OTHER ENDANGERED...
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete together with some heads of States from Africa who participated on the Roundtable meeting on Elephant and other endangered species held in Paris France this...
View Article*MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO ZA MUAJIRI BORA WA MWAKA 2013 JIJINI DAR JANA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri Bora wa mwaka 2013, Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya NMB, Rashid Nassoro, wakati wa hafla...
View Article*KIDUMU ATUA NCHINI KUWASHA MOTO CLUB E LEO
Msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidum” akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jana usiku kuja kutumbuiza katika Shererhe ya Kampuni ya Sigara Tanzania(TCC) “CLUB E”...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA MZEE MANDERA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandera, aliyefariki usiku wa...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA HIGH LEVEL GROUP KUHUSU ELIMU NA AFYA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa siku mbili wa High Level Group, unaofanyika Cape Town tarehe 6 na 7, Desemba 2013. Mkutano huo unazungumzia masuala ya elimu na afya kwa vijana...
View Article*TAYARI WAMEKWISHA ANZA!!!! SOMA WARAKA WA SIRI WA NDANI YA CHADEMA
Ndugu watanzania, nimelazimika kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri wa mawasiliano ya ndani ya chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Katibu mkuu, na wanaoitwa wajumbe wa baraza la maamuzi...
View Article*TANZANITE YAAHIDI KUWASHANGAZA WASAUZI KESHO
TIMU ya Tanzanite imesema iko vizuri kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kwa wasichana wenye umri chini ya miaka 20 dhidi ya Afrika Kusini (Basetsana) inayochezwa kesho Jumamosi (Desemba 7...
View Article*TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA NELSON MANDERA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela kilichotokea jana (Desemba 5 mwaka huu) nchini humo.Msiba huo ni mkubwa...
View Article*KILIMANJARO STARS YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI BAADA YA KUICHAPA UGANDA
Wachezaji wa Kilimanjaro Stars na viongozi, wakimpongeza kipa Ivo Mapunda, baada ya kuokoa penati mbili na zaidi ya mwisho iliyowawezesha kutinga hatua ya nusu fainali baada ya mchezo wa na Uganda...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILALA, MGENI RASMI KWENYE MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata keki ya mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha Bagamoyo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa...
View Article