Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*HADI SASA MTEMVU AMESHAWATAFUTIA KAZI WATANZANIA 16 UGHAIBUNI

$
0
0
 Mwenyekiti wa Wakala wa Kituo cha Kazi cha Bravo, ambaye pia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akimkabidhi Mkazi wa Chamazi, Dar es Salaam, Warda Ibrahim tieketi na nyaraka zingine kwa ajili ya safari ya kwenda Dubai, Falme za Kiarabu kufanyaka zai aliyotafutiwa na kituo hicho. Anayeshuhudia makabidhino hayo yaliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bravo, Mohamed Omar na Ofisa Uhusiano.
 Mwenyekiti wa Wakala wa Kituo cha Kazi cha Bravo, ambaye pia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi Mkazi wa Temeke, Dar es Salaam, Ummy Mushi tiketi na nyaraka zingine kwa ajili ya safari ya kwenda Dubai, Falme za Kiarabu kufanyaka zai aliyotafutiwa na kituo hicho. Anayeshuhudia makabidhino hayo yaliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bravo, Mohamed. Omar. Hadi sasa kituo hicho kimewapatia kazi Watanzania 16 Ughaibuni.
Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na akina mama hao wanaokwenda kufanya kazi Dubai pamoja na wadhamini wao.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>