*RAIS KIKWETE AMWAPISHA IGP MPYA PAMOJA NA NAIBU WAKE LEO IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo...
View Article*KWAHERI 2013 KARIBU MWAKA MPYA 2014, HAPPY NEW YEAR WADAU WA SUFIANIMAFOTO
Mtandao huu wa www.sufianimafoto.com, unapenda kuwatakia kila la kheri wadau wote katika masaa machache yaliyosalia kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014. HAPPY NEW YEAR
View Article*NEW UKONGA VETERANS YALALA MABAO 4-3 DHIDI BURUNDI VETERANS
Mshambuliaji wa timu ya New Ukonga Veterans, Samuel Temi (kushoto) akiwatoka mabeki wa timu ya Burundi VeteransIssa Olivyee (kulia) na Shahibu Abulaa, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye...
View Article*MIYEYUSHO AWAWAISHA WABONGO KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA AMCHAPA MKENYA KO RAUNDI...
Bondia wa Tanzania Francis Miyeyusho (kulia) akipambana na Bondia Joshua Amukulu wa Kenya wakati wa pambano lao la kimataifa lisilo la ubingwa lililofanyika kwenye Ukumbi wa New Msasani Club, jijini...
View Article*HAPPY NEW YEAR 2014 WADAU WA SUFIANIMAFOTO POPOTE MLIPO DUNIANI
Mtanda huu wa www.sufianimafoto.com, unawatakia heri na fanaka wadau wake wote popote mlipo duniani, 2014 uwe ni wa mafanikio na kutimiza malengo. HAAPY NEW YEAR......
View Article*FM ACADEMIA WALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA WA 2014 NA KUUAGA 2013
Wanamuziki wa bendi ya Fm Academia, wakishambulia jukwaa kwa shoo kali ya pamoja wakati wa onesho lao maalum la kufunga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014, lililofanyika kwenye Ukumbi wa...
View Article*SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS JAKAYA KIKWETE KWA WATANZANIA
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
View Article*BREAKING NEEEEWZZZ!!! WAZIRI MGIMWA AFARIKI DUNIA
Habari zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa amefariki dunia mchana wa leo huko nchini Afrika ya Kusini alikokuwa amelazwa katika Hospitali ya...
View Article*TASWA FC YAANZA MWAKA MPYA KWA KUICHAPA TWANGA PEPETA 1-0
Beki wa timu ya Taswa Fc Sufianimafoto (kulia) akiwania mpira na mshambuliaji wa Twanga Fc, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Bonanza la kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014, lililofanyika...
View Article*NIMEACHA UNGA, BANGI MASHABIKI WATAKOMAJE? SUPER STAR BAND...
''Nimeacha Unga na Bangi, sasa mashabiki watakoma na mavitu yangu, Bendi ya Super Star imenibadilisha, hivi sasa mimi ni mwingine kabisa na mwili wangu si unauona???, nanenepa sasa''. alisema Diouf....
View Article*DKT. SHEIN AONGOZA MATEMBEZI YA BONANZA LA VIKUNDI VYA MAZOEZI YA VIUNGO...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,(katikati) na viongozi mbali mbali walioshiriki,Matembezi ya Bonanza la 5 la Vikundi vya Mazoezi ya Viungo, yaliyoanzia...
View Article*MHE. LOWASSA ALIVYOUKARIBISHWA MWAKA MPYA 2014 KIJIJINI KWAKE NGARASHI, MONDULI
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza katika tafrija aliyoiandaa kwa wananchi wake na wageni mbalimbali ya kuukaribisha mwaka mpya 2014,iliyofanyika jana...
View Article*KAJALA MASANJA KUTOKA NA FILAM MPYA YA LAANA MWEZI FEBRUARI
MSANII wa filam za Kibongo nchini, Kajala Masanja, yupo katika hatu za mwisho za maandalizi ya kuanza kurekodi filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Laana', inayotarajia kukamilika mwezi Februari...
View Article*HADI SASA MTEMVU AMESHAWATAFUTIA KAZI WATANZANIA 16 UGHAIBUNI
Mwenyekiti wa Wakala wa Kituo cha Kazi cha Bravo, ambaye pia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akimkabidhi Mkazi wa Chamazi, Dar es Salaam, Warda Ibrahim tieketi na nyaraka zingine kwa...
View Article*BOMU LA KUTUPA KWA MKONO LILILOZUA KIZAAZAA BARABARA YA SHEKILANGO JIJINI...
Baadhi ya raia wakikusanyika kushangaa Bomu la kutupa kwa mkono lililokutwa eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam, jana mchana na kuzua taflani kubwa.Bomu hilo likiwa limefukiwa katika eneo...
View Article*BOSI HADI LIWAKE HILO
Bosi anapoamua kuficha aibu ya dereva wake baada ya gari kuzima katikati ya barabara na kusababisha foleni eneo la barabara ya Azikiwe. ''Hadi liwake'', haikuweza kufahamika chanzo cha kuzima kwa gari...
View Article*MTANGAZAJI WA CLOUDS FM MILLARD AYO ANAPOANZA KUJIFUNZA KULEA
Mtangazaji wa kipindi cha Ampilifaya, Millard Ayo akiwa amempakata mtoto, baada ya kutembelea hospitali ya Temeke na kukabidhi misaada ikiwa ni sehemu ya miaka 14 ya Clouds FM. Mtangazaji wa kipindi...
View Article