*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MIKA 50 YA MAPINDUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika...
View Article*BALOZI IDDI AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA UWEZAJI
Makamu wa Pili mwa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na uwekezaji katika sekta ya Viwanda, Bandari na Viwanja vya Ndege ya ALTEC...
View Article*RATIBA YA MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DKT. WILLIAM MGIMWA
TAREHE 4/ 01/ 2013 MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIA KUWASILI UWANJA WA NDEGE WA JULIUS NYERERE TERMINAL II, SAA7: 00 MCHANA. BAADA YA KUWASILI UTAPELEKWA NYUMBANI KWA MAREHEMU MIKOCHENI B.2:- SAA 11:00...
View Article*CHARLES BONIFACE MKWASA NA JUMA PONDAMALI WAANZA KUKIFUA KIKOSI CHA...
Kocha mpya wa makipa wa timu ya Yanga, Juma Pondamali (kushoto) akimfanyisha mazoezi kipa wa timu hiyo, Juma Kaseja wakati wa mazoezi yanayofanyika kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama jijini Dar es...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisani Kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa, aliyefariki dunia Januari 01,...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AFUNGUA KITUO CHA AFYA CHA BUMBWINI KIONGWE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kukifungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja...
View Article*JAHAZI KWENDA KUTAMBULISHA NYIMBO MPYA MOROGORO MWISHO WA MWEZI HUU
KUNDI bingwa la miondoko ya mwambao, Jahazi Modern Taarab, litaanza kutambulisha nyimbo zake mpya mwishoni mwa mwezi huu ambapo mji wa Morogoro utakuwa wa kwanza kupata uhondo huo.Jahazi watafanya...
View Article*RAIS KIKWETE AFUNGUA HOSPITALI YA KMKM KIBWENI, ZANZIBAR JANA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar jana Desemba 4, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya...
View Article*WAZEE WA FEVA KERO HII HADI LINI?????
Magari makubwa yakiwa yamepaki kwenye barabara ya Mandela kuanzia TOT mpaka Mwananchi ambapo imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hii.Hii imekuwa kero kwa watu wengi wanaoitumia barabara ya Mandela...
View Article*RAIS KIKWETE NA MAKAMU DKT. BILAL WAWAONGOZA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA...
Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo...
View Article*RAIS KIWETE ALIPOPOKEA MATEMBEZI YA UVCCM ZANZIBAR JANA
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la Chipukizi kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini...
View Article*WANADMV WACHANGISHA DOLA 22,938 HARAMBEE YA MPENDWA WAO ZAINAB BUZOHERA
Mume wa marehemu Dullah na mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera wakiwa kwenye harambee ya kuchangisha fedha za kusaidia kusafirisha mwili wa mpendwa wetu marehemu Zainab Buzohera aliyefariki Jumamosi Jan...
View Article*HUKUMU YA ZITTO KABWE YAPIGWA KALENDA HADI KESHO SAA NANE MCHANA
Monday, January 6, 2014HUKUMU YA ZITTO KABWE KESHO SAA 8 MCHANA, WANACHAMA WAANZA TAFRANIHabari zilizoufikia mtandao huu hivi punde kutoka Mahakama Kuu, zinasema kuwa Mahakama Kuu imeahirisha hukumu...
View Article*UVCCM BARA NA VISIWANI WAUNGANA KUHAMASISHA SERIKALI MBILI 'NGUZO YA MUUNGANO'
Sehemu ya vijana wa UVCCM kutoka Bara na Visiwani wakitembea kutoka bandari ya Dar es Salaam hadi makao makuu ya UVCCM katika kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar wakiwa na mabango yenye...
View Article*CHOKI, MUUMIN NA BANZA WAACHA GUMZO KANDA YA ZIWA
Na Mwandishi Wetu, DarWAKALI wa muziki wa dansi nchini Extra Bongo Next Level 'Wazee wa Kizigo' wamerejea jijini Dar es Salaam kwa kishindo baada ya kuhitimisha ziara ya wiki moja ya maonyesho katika...
View Article*WAFUASI WA ZITTO NA CHADEMA WAZICHAPA KAVU KAVU NJE YA MAHAKAMA BAADA YA...
Jeshi la Polisi llililazimika kuwatawanya wafuasi wa Zitto Kabwe na wafuasi wa chama cha CHADEMA, waliotaka kupigana baada ya Mahakama Kuu kuahirisha kutoa maamuzi ya kesi iliyofunguliwa na Zitto dhidi...
View Article*MKE WA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ASHIRIKI MAADHIMISHO YAMIAKA 5 YA...
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akipokewa na walimu wa Philter Federal School ya Fuoni Meli Tano kwenye hafla ya wazazi wa skuli hiyo pamoja na maadhimisho ya...
View Article*RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA DKT WILLIAM...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa...
View Article