Jeshi la Polisi llililazimika kuwatawanya wafuasi wa Zitto Kabwe na wafuasi wa chama cha CHADEMA, waliotaka kupigana baada ya Mahakama Kuu kuahirisha kutoa maamuzi ya kesi iliyofunguliwa na Zitto dhidi ya chama chake.![]()
Wafuasi hao wakianza kuzichapa kavu kavu nje ya Mahakama hiyo.
Baadhi ya wafuasi wa Zitto, wakiwa na mabango nje ya Mahakama hiyo leo mchana.