Magari makubwa yakiwa yamepaki kwenye barabara ya Mandela kuanzia TOT mpaka Mwananchi ambapo imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hii.
Hii imekuwa kero kwa watu wengi wanaoitumia barabara ya Mandela kwani magari haya yachukua nafasi kubwa ya barabara
Pia kuna magari mengine yamepaki kwenye service roads.