$ 0 0 Bosi anapoamua kuficha aibu ya dereva wake baada ya gari kuzima katikati ya barabara na kusababisha foleni eneo la barabara ya Azikiwe. ''Hadi liwake'', haikuweza kufahamika chanzo cha kuzima kwa gari hilo kuwa ni mafuta au hitilafu.