$ 0 0 Rais kikwete akifungua tamasha la matumaini hivi sasa uwanja wa Taifa,jijini Dar.Picha zaidi zitawajia hapo baadae kidooogo.Waimba injili Ambwene Mwasongwe (kulia) na Edson (kushoto) wakiimba sambamba katika Tamasha la Matumaini 2013.Edson akishambulia.Ambwene Mwasongwe naye alikuwepo.Sehemu ya mashabiki wakishangilia burudani.