Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BancABC YAWAKARIBISHA WATEJA KUJIUNGA NA VISA CASH CARD AMBAYO SI LAZIMA UWE...

Baadhi ya wafanyakazi wa BancABC wakisajili wateja wapya wa huduma ya VISA Cash Card ni Kadi ya malipo ya kabla ambayo hupunguza usumbufu wa kubeba fedha usio salama. Ambapo Mteja kuwa na kadi hii si...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MLEZI WA CCM MKOA WA DAR, MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA...

 Mlezi wa CCM Mko wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakati wa Kikao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAFURIKA KUSHUHUDIA TAMASHA LA FILAMU LA GRAND MALT

Wananchi waliofurika katika Tamasha la Filamu la Grand Malt linalofanyika katika Uwanja wa Nyamagana, Mwanza wakifuatilia mambo yanavyoendelea.******************************** Na Mwandishi Wetu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*PROFESA LIPUMBA AONGOZA MAZISHI YA MLINZI WA MAKAO MAKUU YA CUF MUHARAMI...

 Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akikabidhiwa daftari la michango wakati alipowasili Tabata, jijini Dar es salam, nyumbani kwa Marehemu Muharami Abdallah Shaaban Tanganyika aliyefariki juzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAMASAI WA MUNDULI MKOANI ARUSHA WATEMBELEA BANDA LA AICC LILILOPO KATIKA...

.Katibu Mhitasi wa Arusha Intarnational Confrerence Centre. Joyce Mollel (kushoto) akiwaonyesha baadhi ya akinamama wa kikundi cha Masai cha Munduli Arusha shughuli wanazotoa, wakati akimama hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NDEGE AINA YA BOING 777 YAUA WAWILI WAKATI IKITUA UWANJA WA SAN FRANCISCO...

 Magari ya zimamoto yakijitahidi kumwaga maji kuzima moto uliokuwa ukiwaka kwenye Ndege aina ya 777, Namba 214 baada ya kukrash wakati ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa San Francisco...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NMB CHAPCHAP AKAUNTI YAWA KIVUTIO KIKUBWA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

 Maafisa Mauzo ya Nje wa Benki ya NMB wakiwahudumia wateja waliofika katika Banda la benki ya NMB lililopo katika viwanja vya sabasaba kwaajili ya kufungua akaunti ya Chapchap ambapo mteja ufunguliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WATU TISA WAPOTEZA MAISHA NA 53 WAJERUHIWA AJALI YA BASI LA SUMRI KATAVI

Basi la kampuni ya Sumry limetumbukia mtoni na kusabisha watu tisa kupoteza maisha na kujeruhi abiria wapatao 53 katika mto Iku uliopo katika kijiji cha Sitalike wilaya ya Mlele mkoani Katavi Tukio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAASISI LA STARKEY HEARING FOUNDATION YAWATIBU WALEMAVU WASIOSIKIA

 Nyota wa mchezo wa mpira wa miguu wa Marekani (American Football) Rays Lewis akimpa  Rais Dkt. Jakaya Kikwete zawadi ya kofia yenye nembo ya timu yake wakati nyota huyo alipomtembelea Rais Kikwete...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE ANOGESHA TAMASHA LA MATUMAINI UWANJA WA TAIFA DAR

Rais kikwete akifungua tamasha la matumaini hivi sasa uwanja wa Taifa,jijini Dar.Picha zaidi zitawajia hapo baadae kidooogo.Waimba injili Ambwene Mwasongwe (kulia) na Edson (kushoto) wakiimba sambamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kikundi cha ZAYDAT &BASMA GROUP cha Chukwani Zanzibar,TatuSuleiman,wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI SEIF AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibarf Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Wafanyabiashara ya kushajiisha ushiriki wa Sekta Binafsi katika maadhimisho ya Sherehe za kutimia miaka 50...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*DKT SALMIN NA DKT SHEIN WAUNGURUMA KIBANDA MAITI ZANZIBAR LEO

 Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (Komandoo) Dk.Salmin Amour Juma, alipokuwa akiwasalimia na kuwahutubia katika Mkutano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*FULL MKANDA JK AKIFUNGUA TAMASHA LA MATUMAINI LEO UWANJA WA TAIFA

 Muziki wa Injili ulitawala. Hapa Solomon Mukubwa akitumbuiza MC wa Tamasha la Matumaini Godwin Gondwe a.k.a Double G akiwa kazini Bango lajieleza Uzalendo kwanza Nnape Nnauye akiwa na wadau JK akitete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MADEREVA WA WEEKEND HATARI TUPU

 Gari dogo likitolewa mtaroni njia panda ya kutoka Tangbovu kuelekea Goba, jana mchana. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo iliyosababisha dereva huyo kuingia mtaroni mchana kweupe. Zoezi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MHE. ALI HASSAN MWINYI, MASANJA, SHILOLE WATIA FORA TAMASHA LA UTAMADAUNI WA...

Dj Luke akiambatana na mgeni wake Mhe. Ali Hassan Mwinyi kuelekea ukumbini kulikofanyika Tamasha la Utamaduni wa kiswahili na sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo Jumamosi July 6, 2013 na kuwa tamasha la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UMOJA WA MATAIFA YANYAKUA TUZO MAALUM KWA KUTAMBUA MCHANGO WAO WA...

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa kwenye maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yaliyofikia tamati jana kwenye viwanja vya Mwl....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*PAMBANO LA HALIMA MDEE NA JACQUELINE WOLPER HAKUNA MBABE

 Mbunge wa Kawe Halima Mdee (kushoto) akichana na Msanii wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper, wakati wa Tamasha maalum la Usiku wa Matumaini, lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 32 WA WADAU WA POSTA KWA NCHI...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano wa 32 wa Wadau wa Posta kwa Nchi za Afrika, ulioanza jijini Arusha leo, Mkutano huo umehudhuriwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ROTARY CLUB MZIZIMA DAR ES SALAAM, YAPATA RAIS WAKE BAADA YA KUCHAGULIWA TENA

 Rais wa klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es salaam, Rotarian Ambrose Nshala (kulia), akimvisha pini rotarian mpya, Mhandisi Dennis, wakati wa hafla ya kumsimika rais mpya wa klabu hiyo jijini Dar es...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>