Kutokana na timu ya Manchester United kuendelea kuboronga katika msimamo wa Ligi ya England na michuano mingine mashabiki wake sasa wamekata tamaa na baadhi yao kuamua kuihama timu hiyo na wengine kutupa jezi ama kuzichoma moto, kama anavyoonekana shabiki huyu akiamua kutumia jezi yake kushikia sufuria ya ugali wakati akiandaa msosi.
↧