*NAPE ALONGA NA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU AZIMIO LA ZIARA ZA MIKOANI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandihi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti ,Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, jijini Dar es Salaam...
View Article*KIPINDI CHA THE MBONI SHOW CHAWAALIKA WASANII WA FILAMU NCHINI STEVE NYERERE...
Msanii wa Maigizo Tanzania Steve Mongere aka Steve Nyerere akisalimiana na Mwendesha Kipindi cha The Mboni Show , Mboni Masimba (Wa Kwanza kushoto) mara baada ya kuwasili ndani ya mjengo ambapo...
View Article*BARABARA YA JANGWANI KUTOKEA KIGOGO MBIONI KUWEKWA LAMI
Katapila likiendelea kusambaza kifusi cha udongo na kokoto katika barabara ya Jangwani inayotokea Kigogo, ambayo ipo katika hatua za mwisho kuelekea kuwekwa lami. Barabara hiyo ni moja kati ya barabara...
View Article*SHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE AKIWA MJINI DAVOS, USWISI
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika mjini Davos,Uswisi usiku wa kuamkia leo Januari 23, 2014.Rais Dkt....
View Article*TASWA FC, TASWA QUEENS KUPAMBA BONANZA LA MSONDO KESHO JUMAMOSI
Na mwandshi wetu darTimu ya soka na netiboli ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC na Taswa Queens Jumamosi hii zitapamba katika bonanza la muziki la bendi ya Msondo Ngoma kwa kupambana na...
View Article*MAGUFULI AWEKA KAMBI MATENGENEZO YA DARAJA LA MKUNDI
Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa watendaji wa Tanroads.*****************************************Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea eneo la...
View Article*HASIRA NA HASARA ZA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED
Kutokana na timu ya Manchester United kuendelea kuboronga katika msimamo wa Ligi ya England na michuano mingine mashabiki wake sasa wamekata tamaa na baadhi yao kuamua kuihama timu hiyo na wengine...
View Article*ASHA MHAJI ATEULIWA KUWA MSEMAJI WA SIMBA, KAMWAGA KATIBU MKUU
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Aden Ismail Rage, amemteua mwandishi wa habari za michezo wa siku nyingi, Asha Mhaji kuwa Msemaji mkuu wa Klabu hiyo, huku akimteua aliyekuwa...
View Article*RAIS KIKWETE AONGOZA WANANCHI WA MIONO KATIKA MAZIKO YA ALIYEKUWA MBUNGE WA...
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto) na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, wakati wakiwa...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AANDAA SHERRY PARTY KWA WAKE WA MABALOZI WA NCHI ZA NJE...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya (sherry party) aliyowaandalia wake wa mabalozi wa nchi za nje walioko hapa nchini. Sherehe hiyo...
View Article*TAASISI YA CATHERINE KULISHA WATOTO WA LEVOLOSI MWEZI MZIMA
Mwemyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige (kushoto) akikabidhi masaada wa unga wa sembe kwaajili ya uji wa wanafunzi shule ya...
View Article*YANGA YA UTURUKI YAIBUKA NA USHINDI KIDUCHU DHIDI YA ASHANTI UNITED
Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (kushoto) akiruka kuwania mpira na kipa wa Ashanti United, Daudi Mwasongwe, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja...
View Article,*BREAKING NEEEWZZZZ!!!!! NDEGE YA ZAN AIR YAANGUKA PEMBA
Ndege ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jioni hii ikiwa imebeba jumla ya abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na Katiba wa Zanzibar mhe. Abubakar Kahamis, abiria wote...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA UKUMBI WA MIKUTANO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kikristu wakati wa Ibada maalum ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Ukumbi wa mikutano...
View Article*DKT. SHEIN AZINDUA MAADHIMISHO YA YA SHEREHE ZA MIAKA 37 YA KUZALIWA CCM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana,wakati alipowasili katika...
View Article*SIMBA ILIVYOWAKALISHA RHINO RANGERS UWANJA WA TAIFA JANA
Mchezaji wa Simba, Ali Badru, akiruka kumiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba. Timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, jana imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Rhino ya Tabora katika mchezo wa...
View Article*ZIARA YA CHADEMA MKOANI MBEYA JANA
Aliyekuwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Isitu, Chimara mkoani Mbeya, Felix Komba, akizungumza katika mkutano wa Operesehni M4C Pamoja Daima mbele ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia...
View Article*PSPF YADHAMINI NA KUTOA TUZO ZA MABONDIA WA TANZANIA
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Mkamia akimkabidhi tuzo bondia bora wa mwaka 2013 wa ngumi za kulipwa Francsis Cheka, wakati wa utoaji tuzo za 'PSPF BOXING AWARDS'...
View Article*BALOZI IDDI AKAGUA MRADI WA VISIMA KIJIJI CHA UZI NA NG'AMBWA
Baadhi ya Wananchi wa Vijiji vya Uzi na Ng'ambwa wadogo kwa wakubwa wakiendelea na harakati za matengenezo ya Bara bara yao itokayo Unguja Ukuu hadi Uzi kila baada ya kupuyngua kwa kina cha maji....
View Article