Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*SIMBA ILIVYOWAKALISHA RHINO RANGERS UWANJA WA TAIFA JANA

$
0
0
 Mchezaji wa Simba, Ali Badru, akiruka kumiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba. 
Timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, jana imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Rhino ya Tabora katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini. Bao pekee katika mchezo huo lilifungwa na Ramadhan Singano 'Messi'.
 Kiungo wa Simba, Amri Kiemba (katikati) akimsihi mwenzake Ali Badru kutomzonga mwamuzi wa pembeni baada ya kukataa goli lililofungwa na simba.
 Messi akiwatoka mabeki wakati wa mchezo huo.
Sehemu ya mashabiki wa Simba waliojitokeza kushuhudia mchezo huo jana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>