Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anefanyia kazi Zanzibar Dk.Pierre Kahozi,leo alifika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo wa India anefanyika kazi Zanzibar Pawan Kumar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi Mdogo wa India anefanyika kazi Zanzibar Pawan Kumar,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi. Picha na Ramadhan Othman IKulu.