*RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOTEMBELEA KUKAGUA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAFURIKO...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mahema yaliyowahifadhi wahanga wa Mafuriko katika kijiji cha Magole,mkoani Morogoro wakati alipotembelea maeneo yaliathiriwa na mafuriko na kuwapa pole wananchi...
View Article*BALOZI MDOGO WA INDIA NA MWAKILISHI WA (WHO) WAMUAGA RAIS WA ZANZIBAR DKT....
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anefanyia kazi Zanzibar Dk.Pierre Kahozi,leo alifika Ikulu Mjini...
View Article*MADAKTARI WA LIGI KUU TANZANIA BARA KUWASILISHA VYETI TFF
Madakatri wote wa timu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kupitia klabu zao wanatakiwa kuwasilisha vyeti pamoja na wasifu wao (CV) kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kufikia Februari 8 mwaka...
View Article*LIGI KUU YA TANZANIA BARA KUTIMUA VUMBI TENA KESHO TANGA, BUKOBA NA DAR
Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inaendelea kesho (Januari 29 mwaka huu) kwa Coastal Union kuikaribisha Yanga kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini.Kiingilio katika mechi hiyo ni sh. 5,000 na sh....
View Article*SHULE YA SEKONDARI YA WAMA-NAKAYAMA YAPATA MSAADA WA DOLA LAKI MOJA UDHAMINI...
Na Anna Nkinda – MaelezoTaasisi ya Fursa ya Elimu (Opportunity Education Foundation) ya nchini Marekani imetoa mchango wa dola za kimarekani laki moja kwa ajili ya udhamini wa wanafunzi wa kike ambao...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA FEDHA NA MANAIBU WAKE IKULU DAR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI ISIYI YA KISERIKALI KUTOKA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali kutoka Nchni Marekani (Opportunity Education Foundation) Bw.Joe...
View Article*SPIKA WA BUNGE AANE MAKINDA ZIARANI WELLINGTON, GENEVA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISpikawa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. Anne SemambaMakinda (Mb) anatarajiakurejeanchinisikuyaAlhamisitarehe 30...
View Article*RAIS KIKWETE AZINDUA KONGAMANO LA KILIMO AFRICA MASHARIKI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha Mandela toka kwa Mkurugenzi wa Programu wa Spintelligent ya Afrika Kusini Bi. Amore Swart baada ya kufungua rasmi kongamano la Kilimo Afrika Mashariki...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA STATOIL TANZANIA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Statoil Tanzania Oystein Michelsen, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini...
View Article*MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 37 CCM YAPAMBA MOTO JIJINI MBEYA, NAPE...
Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Luteni Mstaafu Maganga Sengelema akichangia jambo mbele ya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakati wa kukagua maandalizi ya awali ya sherehe za maika 37 ya CCM...
View Article*TAMKO LA JUMUIYA YA VIJANA KUUNGA MKONO KAZI YA SEKRETARIETI YA CHAMA CHA...
“Inapofikia wasimamizi wa Kanuni za Chama wanapigwa vita ya wazi kwa uamuzi wao wa kukisimamia Chama, tafsir yake ni moja tu watu wanaowapiga vita hawakitakii mema chama chetu.”“..Chama Cha Siasa...
View Article*MHE. JUMA NGASONGWA APATA AJALI KIBAHA PICHA YA NDEGE JANA
Mh Juma Ngasongwa akikokotwa kuingizwa Hospitali ya Tumbi kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali katika eneo la Kibaha jana jioni. Mhe. Ngasoma amenusurika kifo katika ajali hiyo iliyotokea jana...
View Article*FINLAND'S PRIME MINISTER JYRKI KATAINEN ARRIVES IN DAR ES SALAAM FOR...
The car carrying Finland's Prime Minister Jyrki Katainen arrives at the East Gate of the State House in Dar es salaam this morning for his official reception, ahead of his three-day visit of Tanzania....
View Article*MAHAKAMA YA KISUTU YAWAACHIA HURU WANAHABARI KIBANDA,MAKUNGA NA MAKADA WA...
Habari zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam imewaachia huru aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima ambaye kwa sasa...
View Article*KUELEKEA KILELE CHA MIAKA 37, CCM YAJIVUNIA MAFANIKIO YAKE
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mkutano wa CCM Mkoa wa Mbeya.********************************* Wakati CCM inatimiza miaka 37 tangia...
View Article*MKUTANO MKUU WA TASWA KUFANYIKA FEBRUARI 16
UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), utafanyika Februari 16 mwaka huu jijini Dar es Salaam kama ulivyopangwa na Kamati ya Utendaji ya chama. Hata hivyo...
View Article*MSANII WA BONGO MOVIE ALIYEJINYONGA GESTI HUYU HAPA SOMA CHANZO
Marehemu Victor Peter enzi za uhai wake.Na Mwandishi WetuMSANII Victor Peter kutoka Bongo Movie amefariki dunia usiku wa juzi kuamkia jana 28/01/2014 kwa kujinyonga katika gest moja iliyotambulika...
View Article