Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

*EAJA PRESS FREEDOM COORDINATOR

Application deadline: 15 February 2014In the framework of a programme dedicated to “Promoting Respect for Media Freedom and to End Impunity in Eastern Africa”, the Eastern African Journalists...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BAADA YA KUPEWA TUZO YA BONDIA BORA WA 2013-014 KING CLASS MAWE SASA...

BONDIA bora wa mwaka 2013,2014 katika uzito wa  KG 63  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' amesaini mkataba wa kupambana na Cosmas Cheka Feb 8 mwaka huu katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam.Mara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MO PLANS TO BUILD A USD 5 BILION EMPIRE OUT OF DAR

.At the age of 38, Mohammed Dewji employs 24,000 people and claims to contribute 3.5% to Tanzania's GDP. Within the next 5 years, he plans to build a $5 billion empire out of Dar es Salaam.by Kristin...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA WAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU DAR

 Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri na Manaibu Waziri waliokuwa wakiapisha Ikulu Dar es Salaam, leo wakati alipokuwa akiwasili katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*VYAMA VYA NGUMI ZA KULIPWA NCHINI VYAUNGANA KUWAKUTANISHA MABONDIA JUMAMOSI

Vyama vya ngumi za kulipwa nchini  vimekubali  kuungana na wenzao TPBO kushiriki mkutano wa mapromota wa ngumi na mabondia wote wa Tanzania. Mkutano huo unaotarajiwa  kufanyika katika ukumbi wa vijana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MAWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, SAYANSI...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro, wakati alipofika Ofisini kwake kwa Makamu Ikulu Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UBALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA WATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO YA...

 Na Eliphace Marwa-MaelezoUbalozi wa China nchini Tanzania kwa kushirikiana na makampuni ya watu wa China nchini   wametoa msaada wa vitu mbalimbali kwa waathirika wa mafuriko mkoani Morogoro toka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UNIC YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA MATESO YA KAMBI ZA WAYAHUDI

Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma Ledama akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi ya Diamond juu ya umuhimu wa kujifunza mauaji ya kimbari ya wayahudi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAMKO LA JOHN MALECELA KUHUSU WANAOJINADI KUWANIA URAIS 2015

Ndugu zangu waandishi wa habari, awali ya yote naomba niwasalimie na niwapongeze kwa kufika -mwaka mpya 2014, pia naomba niwapongeze kwa kazi kubwa ambayo mmekuwa mkiifanya hasa kuhakikisha watanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO MARYAM

Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga. Kwa ujuzi wa ma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI WA AFRICA UNION AMINA SALUM AONGOZA MKUTANO WA KWANZA WA MABALOZI WA...

 Balozi wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali (kulia) akiongoza mkutano wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani kwenye jengo jipya la ofisi ya African...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA KUAGANA NA WAZIRI MKUU WA FINLAND JANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Finland Bw.Jyrki Katainen alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja jana. Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI NA JITIHADA ZA KUSHAWISHI WADAU WA UMEME...

High Table Officials looking at a video clip (not seen in the picture)of a launch of NRECA's 'Let there be light Project' in rural Tanzania. H.E. Liberata Mulamula, Ambassador of the United Republic of...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

* MAYOR JERRY SILAA KUBARIKI UZINDUZI WA KAMPUNI YA GRACING AFRICA LEO

  Mwanamitindo anayefanya vizuri sana nchini, Danny David atazindua kampuni yake mpya ya Gracing Africa inayojihusisha na ukuzaji na uendelezaji wa vipaji nchini hasa vya mitindo na fashion ijumaa hii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BREAKING NEEEEWZ!!! VIONGOZI WA CHADEMA MBOWE, MDEE NA MSIGWA WAKAMATWA NA...

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wabunge wake wawili, Peter Msigwa na Halima Mdee, waonja joto ya jiwe ya Nondo la lupango za Kituo cha Polisi Kati Mkoani Iringa.Akizungumza kwa njia ya simu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA WAZIRI MKUU WA FINLAND BAADA YA KUMALIZA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa akimsindikiza na kuagana naye kwenye Uwanja wa...

View Article

*MWANAMKE AMCHANA KWA VIWEMBE MFANYAKAZI WAKE WA KIKE WA NDANI

Dunia hii inaelekea wapi? Huku tukiendelea kupiga vita dhidi ya ukatili kwa wanawake, kuna wanawake wengine ndio wanaoongoza ukatili huo.Shuhudia stori hii ya huyu mwanamke katili aliyemchana chana kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SIMBA KUWAKARIBISHA JKT OLJORO UWANJA WA TAIFA KESHO

Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya 16 wikiendi hii kwa mechi nne ambapo kesho (Februari 1 mwaka huu) Simba itakuwa mwenyeji wa Oljoro JKT katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SERENGETI BOYS YAPANGIWA KUKIPIGA NA AFRIKA KUSINI

Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) itacheza na Afrika Kusini katika mechi za mchujo kutafuta tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa umri huo zitakazofanyika mwakani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TFF MPYA YATIMIZA SIKU 100

Kamati mpya ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Rais Jamal Malinzi, Februari 4 mwaka huu inatimiza siku 100 tangu iingie madarakani katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 28...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>